wivu ugonjwa 'baya sana'
ukinunua usipite karibu na nyumbani
utanisababishia kesi lol
FashenLabda ya kuendea msibani, unahitaji mtandio tu! Honestly zimenipita kushoto, ingawa nafurahia watu wakivaa. Nguo ndefu na mimi mbali mbali!
Pitia huku uchokozwe zaidi na mie ndo nimeivaa nipo nje napunga upepo
Haha ha!
Muwazi na muoga. LOL
Ila kwa Boss nakupa pole, niliacha kuwa SH long time baada ya kukosa hewa kwa jinsi tulivyojazana! LOL
mtaa wa tatu kuna kitchen party?
kumbe small hausi mlijazana? Mie mbona alikuwa anawahi rudi home kama kawaida?
Na nitahakikisha hadi wote wanakimbia, sasa hivi nafanya 'office delivery' cha mchana.
haa,mum unapunga upepo? ngoja mkweo atoke kifungon akukute na hlo dela! btw naomba ruksa ya kutafta mume mwngne ama untaftie! make nshachoka na upweke. . . . . .
wivu ugonjwa 'baya sana'
ukinunua usipite karibu na nyumbani
utanisababishia kesi lol
nimepunguza ili afurahi but still 'wivu tele' lol
Lilikuwa Joga kweli, saa kumi na moja tu anaanza kutafuta boxer! LOL
Halafu nyingi zilikuwa za ofisini, ukianza peleka lunch surely utawakomesha wale waliokuwa wanaitwa ufisini.
Tip nyingine, check ulaji wake wa Korosho na Karanga, ni njia ya kureplace ..............!