Kila mwanamke ninaye mtongoza,akatai....

Kipindi nikiwa under 30 nilikuwa kama wewe, nikisikia mwanamke natetemeka, lakini amini ukikua utaacha
Hakuna bana,wanawake siku hizi shidah kibao,wengi wao wanangangania mabwana wa watu,shida zimewazidi now days
 
Usinichoshe,tusichoshane...
Salam hazina maana...

Yani sasa hivi kila mwanamke nikimtaka,awe mke wa mtu,awe mwanafunzi wa chuo,awe mwanafunzi wa secondary,awe single mama,awe yupo yupo tu wote hao hawakatai,mpaka najiuliza kumetokea nini???

Je maisha yamewapiga sana??
Au mtaani wanaume wamekuwa hawana sumu??
Au hamu zimewazidi ??mbususa zimejaa mpka nazifanyia sensa..au ndo dalili za kupata hiv



one time,ONE FOR THE ROAD..
dunia iko vile vile na wanawake wako vile vile. Tofauti ni moja tu, wewe umekuwa target ya ibilisi. Ukifumaniwa kisha ukafir.wa ndipo utaelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom