Kuna siku nataka kupanda daladala, abiria wamejaa mlangoni, niko pembeni nasubiri waingie wakatokea vijana 2 bangi nyingi, Vipi mdogo wetu umepata seat, au tukuwahie? Kabla sijawajibu nikaangalia usalama wa pochi kwanza, ilikuwa upande waliokuwa wao. Nilivyoona kila kitu kipo sawa ndo nikawajibu😁.Mtu akikugusa kidogo tu kwenye daladala, lazima ujishishike mfukoni kuangalia simu na wallet zipo.
Namakong'u mura weito ila umanyire igha wanayatafuta wenyewe kwa fix zaoDar kuna vituko we acha tu...yaani ni sawa na mitandaoni kila mtu ni taita vibaya, kila mtu ni msomi..
Amang'ana ghano namakongh'u
Pole jomba ushalizwaDar Kuna nini?
Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli.
Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü
Ukimwagiza mahala anapotea
Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna hata 100
Unamkwepa hata ndugu yako wa damu kisa maisha ya kuigiza
Tuliwambia mje vijijini tulime, mnatuona washamba
Mtu anatoka Bukoba mnawasiliana, ukifika Chalinze anazima simü anakuja kukutafuta baada ya siku 4 ati simu iliibiwa
Ardhi ya Dar na utapeli vilifunga ndoa
Kila mtu wa Dar ni mwonga na tapeli
Namakong'u mura weito ila umanyire igha wanayatafuta wenyewe kwa fix zao
Umepigwa tukio kubwa sana sasa unalia niniDar Kuna nini?
Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli.
Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü
Ukimwagiza mahala anapotea
Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna hata 100
Unamkwepa hata ndugu yako wa damu kisa maisha ya kuigiza
Tuliwambia mje vijijini tulime, mnatuona washamba
Mtu anatoka Bukoba mnawasiliana, ukifika Chalinze anazima simü anakuja kukutafuta baada ya siku 4 ati simu iliibiwa
Ardhi ya Dar na utapeli vilifunga ndoa
Kila mtu wa Dar ni mwonga na tapeli
Wakulima wenyewe wanasoto mwaka wa arobaini hajawahi ona million 10 kwa macho yakeNjoo tulime kwanini ubishi Kwa kujificha na kuigiza
Ndo muhamie huku Nyamugongo sasa
mkuu umeandika kwa hisia sanaDar Kuna nini?