Kila mtu wa Dar ni tapeli

Kila mtu wa Dar ni tapeli

Tatizo sio ardhi ya dar, kuna ule ushamba wa watu wa mikoani kama sio born town wanahisi wakifikaga dar ni lazima ujioneshe mambo safi na akati mtu mwenyewe apeche alolo! Wanakuwa vistory vingi vya kuringishia maisha mazuri kuliko ya mikoani wakihisi hao watu wa mikoani hawawezi fika dar! Siku si inafika unamtaarifu mwana nakuja huko anaanza fikiria zile fix alizokupigaaa ukifika utazikuta? Penyewe kapanga chumba cha efu 10 kwenye pagale halina hata sealing bord, bafu anaoga nje kuanzia kifuani anaonekana akisimama waaaiii hizo aibu kwanini azikubali
Dar kuna vituko we acha tu...yaani ni sawa na mitandaoni kila mtu ni taita vibaya, kila mtu ni msomi..
Amang'ana ghano namakongh'u
 
Dar Kuna nini?

Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli.

Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü

Ukimwagiza mahala anapotea

Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna hata 100

Unamkwepa hata ndugu yako wa damu kisa maisha ya kuigiza

Tuliwambia mje vijijini tulime, mnatuona washamba

Mtu anatoka Bukoba mnawasiliana, ukifika Chalinze anazima simü anakuja kukutafuta baada ya siku 4 ati simu iliibiwa

Ardhi ya Dar na utapeli vilifunga ndoa

Kila mtu wa Dar ni mwonga na tapeli
Kikikisi watata
 
Mimi mwaminifu 100% plus. Tuko watu tunaojitambue usiogope.
 
Ila hawa matapeli wanatuharibia mji wetu🥲
IMG-20250708-WA0001.jpg
 
Pole uncle

Msiwe mnatuma hela kwa wale kina Asha mtundu na kina Salha mautamu huko telegram…, baada ya muamala kusoma anaku-block kila sehemu na huku kakuacha na imagination kibao!

Dar na utapeli ni kamasi na pua 😄👍🏾
 
Back
Top Bottom