Kila mtu wa Dar ni tapeli

Kila mtu wa Dar ni tapeli

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,782
Reaction score
36,012
Dar Kuna nini?

Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli.

Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü

Ukimwagiza mahala anapotea

Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna hata 100

Unamkwepa hata ndugu yako wa damu kisa maisha ya kuigiza

Tuliwambia mje vijijini tulime, mnatuona washamba

Mtu anatoka Bukoba mnawasiliana, ukifika Chalinze anazima simü anakuja kukutafuta baada ya siku 4 ati simu iliibiwa

Ardhi ya Dar na utapeli vilifunga ndoa

Kila mtu wa Dar ni mwonga na tapeli
 
Siku hizi hata mimi ni tapeli
FB_IMG_17526764362062841.jpg
 
Watu wa bukoba mnaongoza kwa utapeli dar
 
Nikisoma behind your words inaonesha jamaa aliumizwa sana. Pole kamanda, move on.
 
Tatizo sio ardhi ya dar, kuna ule ushamba wa watu wa mikoani kama sio born town wanahisi wakifikaga dar ni lazima ujioneshe mambo safi na akati mtu mwenyewe apeche alolo! Wanakuwa vistory vingi vya kuringishia maisha mazuri kuliko ya mikoani wakihisi hao watu wa mikoani hawawezi fika dar! Siku si inafika unamtaarifu mwana nakuja huko anaanza fikiria zile fix alizokupigaaa ukifika utazikuta? Penyewe kapanga chumba cha efu 10 kwenye pagale halina hata sealing bord, bafu anaoga nje kuanzia kifuani anaonekana akisimama waaaiii hizo aibu kwanini azikubali
 
Kila mtu ni mjanja dar kuna ile akili ukitoka mkoa ukishuka tu kwa bus bas akili ina kwambia kabisa upo dar be have kama mwenyeji
 
Back
Top Bottom