unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,046
Mahali penyewe kama gheto vile, hamna thamani kabisa.
Mbona una stress sana mzee, sikukuu nini
Mahali penyewe kama gheto vile, hamna thamani kabisa.
Mbona una stress sana mzee, sikukuu nini
Kama anavyoonekena kwenye picha raisi mstaafu J. Kikwete baada ya kumaliza msiba wa dada yake ameenda mjini York Mpya huko nchini Marekani!
![]()
Endelea KUWAPOTOSHA Na KUWADANGANYA Watanzania Mkuu ILA Kuwa Makini Sana Kwani Sasa SHERIA Yetu Ile Ndiyo Ipo Ktk UBORA Wake. Mnavyomwandama Mzee Wa Watu Huku Mkifanya Upuuzi Wenu Wa Picha Za KUTENGENEZA Mnafaidika Na Nini? Hata Kama JK Katuudhi Lakini Nina UHAKIKA Kuwa Kuna Mahala Pengine Katufanyia Vizuri Na Tutamkumbuka Hivyo TUMPE HESHIMA Yake STAHILI Na Mtake Msitake Itabaki Ktk Historia Yetu Ya KIZAZI Na KIZAZI Kuwa Rais Wetu Wa Awamu Ya Nne ( 4 ) Alikuwa Ni Jakaya Mrisho Kikwete. Tujifunze Kuonyesha UUNGWANA Wetu Watanzania.
Leo umekuwa mtanzania!
Ukishaujua Uraia Wangu Ndipo Utakubali Kubeba UJAUZITO Ninaotaka Kukupa au?
Maembe mabichi yanakuharibu akili wewe.