Kikwete yuko New York Marekani

Kikwete yuko New York Marekani

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Kama anavyoonekena kwenye picha raisi mstaafu J. Kikwete baada ya kumaliza msiba wa dada yake ameenda mjini York Mpya huko nchini Marekani!


1.JPG
 
Vasco hajasubiri hata arobaini ya dada yake.Kweli jamaa miguu inamwasha balaah
 
Dah, Huyu Jamaa Huyu!!!! Au anatumwa Na muheshimiwa rais??? Au ni mambo yake ya kibiashara??
 
Hatukuwa na rais ndani ya miaka 10 aliyesema ni chaguo la Mungu hayo maono sijui aliyapata kutoka kwa shetani gani..
 
Wote Mnaomponda Mh. Rais Mstaafu Mna Uwezo Mdogo Wa Kufikiri, Fanyeni Yenu Na Muache Maisha Binafsi Ya Mtu, Kila La Kheri Kwake
 
Back
Top Bottom