Kikwete yuko London

Tumeshatune kupewa hatuwezi kuwa creative. Nao wameshaona sisi ni wa kupewa, hata masharti wanalegeza kila siku.
 
Tumeshatune kupewa hatuwezi kuwa creative. Nao wameshaona sisi ni wa kupewa, hata masharti wanalegeza kila siku.

Wataendelea kutoa tu kwasababu ni waay less than what viongozi wetu wanawapa in terms of rasilimali zetu,they know,kesho na kesho kutwa watawapa magari zaidi ya maji nk ili kuwadhibiti wananchi,watawapa silaha ambazo ni cheap tu ambazo zinajitosheleza kwa mafisadi kujilinda...Uamuzi uko kwa wananchi...Wao wanadai kuwa viongozi wetu ni democratically elected na kwamba wana represent interests za wananchi wao, chunga mlango wa uwani,mlango wa mbele wanaleta hiyo misaada ambayo viongozi wetu wanadai kuwa ni ya kuwalisha wananchi licha ya kwamba si kweli,ila mlango wa uwani wanachotoka nacho pia si mchezo,tukakaa makini wakatuelewa wakajuwa tuko serious then they will treat us as such...Sasa ni sawa na mtu akaomba pesa ya kwenda kumlisha mwanae halafu pesa hiyo akaitumia kwenye pombe...Hivi hao wanaotoa misaada unadhani hawajui hayo mabilioni ya dola yako kwenye akaunti zao? Ni kwamba ufisadi nao ni msaada kwao? Its really a maniac cycle.
 
Kwa mawazo yangu ni kwamba Africa na hasa Tanzania hatuhitaji misaada sana kama inavyotazamwa ama kuongelewa.
Tanzania ni nchi tajiri sana tokana na kuwa na rasilimali za kila aina. Inabidi wananchi waamke na wajue kutumia rasilimali zao vyema, washilikishwe na wamilikishwe rasilimiali zao, tutunze vyema kile kichache na kidogo tupatacho, tuwe na kipaumbele katika mipangilio yetu.
Tumepata misaada mingapi toka tumepata uhuru?, je imetufikisha wapi?.
Tuna matatizo makubwa sana katika management. Hii inajionesha katika kila fani hapa Tanzania. Tunashindwa ku-manage kile kichache tupatacho na hatuna kipaumbele, je misaada italeta tofauti gani?
 
The folly of African leader's stance in commanding aid is in their sense of unquestionably naivette and unashamed entitlement, coupled with some half baked ransom holding half truths on non-existent repercussions flinged for the dramatic cliffhanger, to scare the jumpy white boy."If you do not help us we will flood your capitals", indeed, as if Stockholm sweden and St. Paul Minneapolis are not choking with Somalis already! And don't even mention London and New York.

The nerve, the audacious, self entitled, asepalous nerve!

The threat does not exist (we are at the bottom of the ladder and cannot get any poorer) the money will not come (the developed world is tired of pouring money into a bottomless pit, if any money will exchange hands it will largely be symbolic and nothing effective ) and even that little bit of money will mostly be embezzled and used uneconomically.

If we cannot use our very own scarce resources with thrift, what motivation do we have to use the West's money effectively?
 
Alau wazir wa Fedha wa Kenya ameweka mipango ya Mda mfupi ya kukabiliana naHali hii, sie wala...

Kukabiliana na Hali Mradi wa Vitambulisho UFUTWE,,pesa yote iingizwe ktk Kilimo. Yanunuliwe matreka kila Kijiji iwe na Matreka 1-5 ikiwezekana...Tutaomba Hadi lini...?
 
London Shopping na medical check up, suti, full english breakfast. na kushangaa trafagar square then kurudi kufisadi tena kisawasawa!! No one is serious as far as bado Africa tunategemea ku babaysitted na wazungu. tunahitaji marais wawajibikaji sio wategemea mjomba!! mwenye sera nzuri ni yule atakaye kuwa matonya mzuri that is rediclous strategy. Very few wana strategy za kuitegemea na kubuni mbinu mpya za kukuza uchumi na biashara katika kipindi hiki cha mpito cha credit cruch!! Simlaumu MUUNGWANA KUSHINDWA KUELEZA MIKAKATI MBADALA. Angeulizwa how is he katika matonyanization ungepata majibu murua!! Worse enough ni mchmu huyo!! mwenye BA economics! na washauri lukuki!!!!
 
Maarifa,
May be uko sawa, yaani SA wanamtuma waziri wa fedha , Kenya wanawakilishwa na waziri mkuu, hivi raisi wetu ana akili kweli? kwa nini hata asingemtuma Karume? ama kweli wadanganyika tumeliwa na hii yote ni udhaifu wetu wa kuona mbali maana hata Madagascar wametuzidi raisi kafanya makosa wamemuondoa pamoja na kukiri alifanya makosa. Sisi msaanii anazurura tu na kazi kutafuta waganga wa kienyeji mpaka wakihindi , sitashangaa kama yey hakuwa wa kwanza kutafuta shavu la albino.
 
...........hana lolote ..mawa ooh salva anatuambia ni mkutano wa viongozi wanaoheshimika afrika ....wakati pale president ni yeye mwenyewe tu..kenya wamemtuma waziri mkuu odinga,south afrika wamemtuma Trevor emmanuel ,waziri wa fedha....labda ambaye angalau ana level ya ukuu wa nchi kama yeye ni MEles zenawi.......hakuwa na umuhimu sana wa kuwa pale hata Dr shein AU Pinda wangetosha......unless shida yake kuu ilikuwa kupita london kumuona VICKY KAMATA ...yule mIlupo wake....
ndio MAANA AMEENDA SINGLE!!
 
...........hana lolote ..mawa ooh salva anatuambia ni mkutano wa viongozi wanaoheshimika afrika ....wakati pale president ni yeye mwenyewe tu..kenya wamemtuma waziri mkuu odinga,south afrika wamemtuma Trevor emmanuel ,waziri wa fedha....labda ambaye angalau ana level ya ukuu wa nchi kama yeye ni MEles zenawi.......hakuwa na umuhimu sana wa kuwa pale hata Dr shein AU Pinda wangetosha......unless shida yake kuu ilikuwa kupita london kumuona VICKY KAMATA ...yule mIlupo wake....
ndio MAANA AMEENDA SINGLE!!

Wala hujakosea VICKY KAMATA alikuwa na Muungwana London hata shule kule Southampton aliamua kuiweka kapuni!! Kikwete kweli kiboko hakui!
 
Next time jamani tunangalie tuweke mtu aliesoma shule, Tanzania ya Salim ingekuwa tofauti kidogo, sawa tungekuwa bado maskini lakini angalau kungekuwa na some sort order. Huyu playboi wenu anafanya vitu vyaajabu tuu. He just wanted power but doesnt actually know what to do with it. As he was quoted many years a go:

"Mimi nasomea Urais" I only wish angesoma kiukweli ukweli tuu perhaps ingepauna hiyo akili yake finyu. Hata wapinzani pia, inabidi watu waache mchezo wasome. Nnchi haziongozwi na wapigakelele kwenye majukwaa... tunataka watu wenye vision and wawe well educated. Mtu unakuwa foreign minister miaka 10 hujui kujibu maswali... mara unathubutu kusema the current economic crisis is 'difficult to comprehend, even at our leve' wakati umewaambia watu unadegree ya economics! LOL Its just ridiculous and you are supposed to lead the fight against poverty and spearhead development... Itawezekana kweli!?
Tanzania inahitaji wasomi na watu wenye vision, everyone else waache kutubabaisha wakalime. Mawaziri wana phD from chip-shop universities. Yani kwakweli we are a waste of nation for even allowing these people to mess about with us like this.shame shame shame.
 
Back
Top Bottom