Kikwete to USA (May 2009)

Kikwete to USA (May 2009)

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Posts
11,562
Reaction score
5,524
Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa kisingizio kuwa Jumuiya ya Watanzania Washington bado ina mzozano wa uongozi. Atakutana na Hillary Clinton jumatano hiyo na Ijumaa anaingia NY.
 
Where is Matty going this time?!!

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=bNF_P281Uu4"]YouTube - Where the Hell is Matt?[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=zlfKdbWwruY"]YouTube - Where the Hell is Matt? (2008)[/ame]
 
...Mmmh! haya........asante kwa taarifa mjomba.... Lakini mjomba kubeba gunia la misumari wakati una upara huo ni ujinga mjomba na kuuzunguka mbuyu si kazi mjomba kazi kuukumbatia...nikipata vocha nitakupigia mjomba
 
Jamani mwee huy JK toka aingie madarakani hajaingia mitaa hii kuna nini hasa?..Hivi Tanzania hatuna uhusiano wa karibu na Canada!...
Majuzi tu, Jumatatu wamekuja watu hapa kuitangaza EAC kibishara, wajumbe toka TZ, Kenya, Uganda, Rwanda kwa mwaliko wa watayarishaji ambao walitaka kiingilio kukutana na wakulu hawa. jamani hivi ndivyo tunavyozitangaza nchi zetu kweli?.
 
Uko Canada mitaa gani ndugu?
 
asipoenda huku kwingine atapa vipi misaada? Mkandara huko Canada itabidi mtengeneze package fulani ya msaada halafu mumwalike aje kuichukua... hivi hivi haji!
 
Yaani akili yake imefikia kikomo kiasi cha kutoweza kufikiria mbinu na njia zingine zaidi ya kuomba misaada? Say it ain't so.....
 
mbinu nyingine.. are you kidding me? Have you ever heard CCM ikisema curbing government spending? kufunga mianya ya extravagances kama iliyoko kwenye ripoti ya CAG au mfumo mzuri wa kodi?

Kwa kadiri misaada inaendelea kutawala hawaoni haja ya kutafuta mbinu mbadala!

On the other hand.. unajua wizi mkubwa wa fedha za umma unafanywa katika trip hizi.? Wakati akiwa anapitia UAE miezi michache iliyopita baadhi ya wapambe walinunua injini za magari yao kuziweka kwenye ndege kwa hela ya walipa kodi wa Bongo.. na JK hajui hilo!
 
Uko Canada mitaa gani ndugu?
T dot, kwani vipi wanitafuta mkuu!

Mwanakijiji,
asipoenda huku kwingine atapa vipi misaada? Mkandara huko Canada itabidi mtengeneze package fulani ya msaada halafu mumwalike aje kuichukua... hivi hivi haji!
Najua, wajua na wote tunajua sana kwamba wanavuta za kutosha na pengine Canada ndiye mwekezaji mkubwa Tanzania..mbali na yote hayo Mh. Membe hapa kwake nilitegemea sana kuwaona mitaa hii kuwakabidhi nyaraka zangu muhimu sana zinazohusiana na Diaspora na jinsi gani tunaweza kuisadia Tanzania..
 
Nyani Ngabu said:
Huyu kwa mwaka anakwenda Nyamwezi mara ngapi?

Nyani Ngabu,

..mara baada ya kuchaguliwa kuwa Raisi, Kikwete alisafiri kwenda USA kujitambulisha.

..sasa hivi kuna uongozi mpya wa Barack Obama kwa hiyo hii nayo ni ziara ya Kikwete kujitambulisha tena/upya kwa serikali ya Marekani.

Mwanakijiji said:
On the other hand.. unajua wizi mkubwa wa fedha za umma unafanywa katika trip hizi.? Wakati akiwa anapitia UAE miezi michache iliyopita baadhi ya wapambe walinunua injini za magari yao kuziweka kwenye ndege kwa hela ya walipa kodi wa Bongo.. na JK hajui hilo!

Mwanakijiji,

..can you expand and elaborate kuhusu wapambe.

..kama ni wa-Tanzania, na wao si walipa kodi wa Bongo.

..binafsi nadhani kwenye hizi safari kuna ufujaji mkubwa wa fedha zinazotumika kwa masufuru.

..naamini kichocheo kikubwa cha hizi safari ni fedha za nje-nje za masurufu.

..tuanze kuwabana hawa kujua hizi safari zinamgharimu mlipa kodi wa Tanzania kiasi gani.
 
Last edited:
T dot, kwani vipi wanitafuta mkuu!

Mwanakijiji,

Najua, wajua na wote tunajua sana kwamba wanavuta za kutosha na pengine Canada ndiye mwekezaji mkubwa Tanzania..mbali na yote hayo Mh. Membe hapa kwake nilitegemea sana kuwaona mitaa hii kuwakabidhi nyaraka zangu muhimu sana zinazohusiana na Diaspora na jinsi gani tunaweza kuisadia Tanzania..

Kaka Bob, vipi tena... hupatani na Balozi wenu hapo?! Swali ambalo watakuuliza.
 
Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa kisingizio kuwa Jumuiya ya Watanzania Washington bado ina mzozano wa uongozi. Atakutana na Hillary Clinton jumatano hiyo na Ijumaa anaingia NY.

Our roving President. This guy looves to travel...
 
..sasa hivi kuna uongozi mpya wa Barack Obama kwa hiyo hii nayo ni ziara ya Kikwete kujitambulisha tena/upya kwa serikali ya Marekani.

Ila safari hii nimependa ratiba, kwamba hatakutana na Obama, kwa mujibu wa habari ya itinerary ya Jasusi.

Hataonekana anajipalatisha kwa Rais mpya, bali amekuja kwa ishu za foreign affairs, anakutana na foreign minister, Clinton, anaondoka. Kama ndio hivyo.
 
Last edited:
Na mtachoka, tupsi ya mafisadi nguru kaja nayo kama kawaida,eti kutafuta biashara......yale yale
 
Ila safari hii nimependa ratiba, kwamba hatakutana na Obama, kwa mujibu wa habari ya itinerary ya SteveD.

Hataonekana anajipalatisha kwa Rais mpya, bali amekuja kwa ishu za foreign affairs, anakutana na foreign minister, Clinton, anaondoka. Kama ndio hivyo.

Okay, which means kuna nyingine atafanya (who knows when...) ambayo ataonana na Obama....tutasema nini?
 
Ila safari hii nimependa ratiba, kwamba hatakutana na Obama, kwa mujibu wa habari ya itinerary ya SteveD.

Hataonekana anajipalatisha kwa Rais mpya, bali amekuja kwa ishu za foreign affairs, anakutana na foreign minister, Clinton, anaondoka. Kama ndio hivyo.

... safari nyingine mwezi wa 10 ndipo atakapo onana na Obama na kuweza kujitambulisha kwake!
 
Achia mbali kukutafuta, sikujui. Nilidhani uko pande pande fulani.

Respect
Huh! mkuu huna hata utani mjomba!..Kama ingekuwa kweli nisingekupa jina la mji... Unaweza kunifahamu tukafahamiana, sina noma mkuu wangu mimi hata siku moja sijifichi na wana JF wanajua hilo.

SteveD,
Kaka Bob, vipi tena... hupatani na Balozi wenu hapo?! Swali ambalo watakuuliza.
Balozi wetu mtu fresh sana ingawa sina mazoea naye ya karibu hata hivyo maswala haya ni mazito na nafahamu Bongo tunavyofanya kazi toa idea watu wanaiba na kutunga wao ubunifu, kisha wasifanye inavyotakiwa wataiboronga, nataka kuwakilisha kwa mkulu mwenyewe..labda nitavutwa Ikulu nikapumzike na box hili..Lol
 
Back
Top Bottom