Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Kwani jk alikuwa mjumbe wa tume ya uchaguzi au mwenyekiti wa tume ya uchaguzi zanzibar mpaka ahusike na uchaguzi huo.
Wanahusikaje kwenye suala la zanzibar?Naomba mungu awape maisha marefu kikwete na mkapa ili siku mmoja waweze kuwajibika kwa yote yaliyotokea Zanzibar wakati wa uongozi wao
kwa unafiki na ufitina.Wanahusikaje kwenye suala la zanzibar?
KIBOKO ya wajinga wajinga wa lumumbaLazima uite uongo sababu ukweli unauma tuvumiliane tu mkuu JK ni kiboko ya Wachaga
AiseeWameanza kujitoa maana hawana uhakika nini kitatokea baada ya machi 20

Kwa hiyo ni Jecha peke yake.
kwani alietoka sauzi jion mbio mbio hadi zenji siku ya kufutwa matokeo alikuwa nan? Hakyanan we mzee mshirikiana sana
Nasikia analindwa kama rais ObamaThubutu! Kama yuko peke yake nenda umguse, utaipata pata
Mkuu hii ndiyo TanzaniaAisee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahahahaaa
kwahili nakupinga asilimia zote... kilichotokea siku ya uchaguzi wa ccm hata jakaya hakutegemea.... ripoti ya ndani inasema baada ya washindani watatu kuingia kwenye kinyang'anyiro kura za maruhani zilimpitisha yule mama mzanzibar baada ya kuziomba kura hizo ktuka kundi la LOWASA. na ndipo JAKAYA akafuta matokeo na kueleza kuwa uchaguzi umeahirishwa mpaka kesho.Sio zanzibar tu, jk amehusika kumuwezesha magu kufika ikulu
kwahili nakupinga asilimia zote... kilichotokea siku ya uchaguzi wa ccm hata jakaya hakutegemea.... ripoti ya ndani inasema baada ya washindani watatu kuingia kwenye kinyang'anyiro kura za maruhani zilimpitisha yule mama mzanzibar baada ya kuziomba kura hizo ktuka kundi la LOWASA. na ndipo JAKAYA akafuta matokeo na kueleza kuwa uchaguzi umeahirishwa mpaka kesho.
maamuzi yakafanyika ndipo kukawa hakuna jinsi apewe MAKUFULI kitu ambacho hakikuwa ni hesabu ya wanaharakati wa CHAMA.
Ni ukweli ambao hamtaki kuusikia JK ndio aliyemuambia JPM akachukue fomu Pombe mwenyewe akufikiria au na hii unaitaji tochi mkuu? Kwa nini asimuambie Membe? Kama CCM wakimtaka lowasa alipohama chama mbona hawakenda nae Ukawa?
Ulisema Pia, Escrow ni Pesa za Umma.
Alisema Pia hakuamwagiza Lowassa Kushinikiza Richmond
Alisema Pia hajui aliyemteka Ulimboma
Alimpandisha Cheo Kamuhanda baada ya Kumuua Mwangosi
Alisema Pia Familia yake haihusiki na Kusaidia ukwepaji kodi.
Amebakia tu Kusema kuwa, hajawahi Kamwe Kuvaa sare yoyote ya Kijani, Huyu Jamaa sijawahi kuona mnafiki kama yeye. Magari ya Deraya 700 Nani aliyanunua na Kwa dhumuni gani? Oh am sory yalikuwa yamewekwa kwenye Budget tangu awamu ya tatu wewe ulitekeleza tu eh mkuu. so funny!