haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,832
- 4,627
Mkuu ulikuwepo?Hivo jwtz waliovamia bwawani na kuzui kutangazwa matokeo ni amri ya Mamunyange?
Mkuu ulikuwepo?Hivo jwtz waliovamia bwawani na kuzui kutangazwa matokeo ni amri ya Mamunyange?
Kama zire fedha za mmmboga! Tsh. 1,600,000,000 za Escrow na Vile Visent! $ 600,000 za Rada, Kwa Mutu Muzito kama JK, Tsh 4,000,000,000,000 (sifuri zinaniishia) za safari si hera za soda! Nyie watanzani Wehu! Si Ngosha alikuwa anasema kila mahali serikali ya Jakaya Mlisho Kikwete Ni Taaajiri!Hahahahahaaaaa
Ubunge Ni ajira, Wangehama halafu waache nafasi zao CCM, There is more involved, we unafikiri mtu hata akikupenda ataacha ajira yake kwa ajili yako, afe njaa!Ni ukweli ambao hamtaki kuusikia JK ndio aliyemuambia JPM akachukue fomu Pombe mwenyewe akufikiria au na hii unaitaji tochi mkuu? Kwa nini asimuambie Membe? Kama CCM wakimtaka lowasa alipohama chama mbona hawakenda nae Ukawa?
Kwahiyo wenyeviti wa vyama ni wabungeUbunge Ni ajira, Wangehama halafu waache nafasi zao CCM, There is more involved, we unafikiri mtu hata akikupenda ataacha ajira yake kwa ajili yako, afe njaa!
umevurugwa mkuu.Kwahiyo wenyeviti wa vyama ni wabunge![]()
umevurugwa mkuu.
Kwa hiyo walikuwa watu wa Lowasa kimwili tu ila kiroho watu wa Membe?Well na wao pia
Kwa hiyo mkuu mapenzi yao yote kwa Lowasa kumbe tatizo ni njaa tu?Ubunge Ni ajira, Wangehama halafu waache nafasi zao CCM, There is more involved, we unafikiri mtu hata akikupenda ataacha ajira yake kwa ajili yako, afe njaa!

Dunia nzima imeshuhudia hadi waandishi wa habari wa ndani na nnje wametimuliwa ukumbini!Mkuu ulikuwepo?
Dunia mzima imeshuhudia vipi wakati mnasema walitimuliwa watu woteDunia nzima imeshuhudia hadi waandishi wa habari wa ndani na nnje wametimuliwa ukumbini!
Ubishi wa kitoto.Dunia mzima imeshuhudia vipi wakati mnasema walitimuliwa watu wote
Jecha alifuta uchaguzi baada ya kuoba una kasoro nyingi JK anahusikaje wakati Tume aiingiliwi maamuzi na mtu yoyote?Ubishi wa kitoto.
Ni ukweli ambao hamtaki kuusikia JK ndio aliyemuambia JPM akachukue fomu Pombe mwenyewe akufikiria au na hii unaitaji tochi mkuu? Kwa nini asimuambie Membe? Kama CCM wakimtaka lowasa alipohama chama mbona hawakenda nae Ukawa?
Lazima uite uongo sababu ukweli unauma tuvumiliane tu mkuu JK ni kiboko ya WachagaAcha uongo wako.
No Sikiliza Mzee wangu na Hapa Naongea na wewe Kwa Mfano, Ikiwa Unafanya Kazi na Mtu fulani mahaali, Na Ni marafiki sana. Akafanyiwa Fitina, au vitu kama hivyo na ikafika mahali akachoka akasema anaacha kazi, akatafute maisha Kwingine. Mtu Mzima Huwezi Kukurupuka na Kumfuata ukaacha ajira yako. Na hata kama anaenda kuanzisha shughuli mpya kama anaupendo atakuasa uvumilie ulipo na kisha akijipanga vizuri utaungana nae. Hata Umpende mtu namna gani Ni vigumu kumfuata mtu kila afanyalo au aendako. Na nakujibu hili bila siasa wala kebehi yoyote na wewe naamini sio mjinga hata kama hapa hutakubaliana na mimi moyoni unajua nasema kweli.Kwa hiyo mkuu mapenzi yao yote kwa Lowasa kumbe tatizo ni njaa tu?![]()
![]()
Kwani mkuu akina Msindai mbona walimfuata bila kujari ajira zao iweje wengine wasuende? Kwani Simba na Nchimbi wamebaki na ajira gani CCM?No Sikiliza Mzee wangu na Hapa Naongea na wewe Kwa Mfano, Ikiwa Unafanya Kazi na Mtu fulani mahaali, Na Ni marafiki sana. Akafanyiwa Fitina, au vitu kama hivyo na ikafika mahali akachoka akasema anaacha kazi, akatafute maisha Kwingine. Mtu Mzima Huwezi Kukurupuka na Kumfuata ukaacha ajira yako. Na hata kama anaenda kuanzisha shughuli mpya kama anaupendo atakuasa uvumilie ulipo na kisha akijipanga vizuri utaungana nae. Hata Umpende mtu namna gani Ni vigumu kumfuata mtu kila afanyalo au aendako. Na nakujibu hili bila siasa wala kebehi yoyote na wewe naamini sio mjinga hata kama hapa hutakubaliana na mimi moyoni unajua nasema kweli.
Kwani mkuu akina Msindai mbona walimfuata bila kujari ajira zao iweje wengine wasuende? Kwani Simba na Nchimbi wamebaki na ajira gani CCM?
Rafiki wa kweli ni yule wa kwenye shida na raha.Wale walikuwa wastaafu Tayari, Ukiangali waliohama na Lowassa wengi ni Wastaafu na Wezee wenye heshima zao.