pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Huyu jamaa ni wa kuogopa kana saratani! Ingekuwa katiba inasema raisi ni miaka 15 naapa wallah angeimaliza hii Nchi kwa Ufisadi! Ni raisi ambae ni mfano MBOVU wa kuigwa kwa namna alivyoongoza na kuiacha Nchi hohehahe!