MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Mwenyekiti wa CCM rais Mstaafu Jakaya Kikwete amesema hausiki na kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar October 28 mwaka jana.
Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salimu Jecha alitangaza kufutwa kwa kwa matokeo ya uchaguzi uliofanyika October 25, akidai haukuwa huru na wa haki.
Tayari ZEC imeshatangaza kurudiwa kwa uchaguzi huo hapo machi 20 mwaka huu.