Mr Zero ana ulizwa na Tido wewe uliwahi kusema Lowassa ni Fisadi leo una muuza kwa Watanzania ameacha Ufisadi?? Mr Zero anajibu yeye hajawahi sema Lowassa ni Fisadi ila alisikia tu mitaani
Ile Sumaye iko na akili dogo saana,yeye naelewa tu ongea halafu siku bili nasahau neno yote sema nyuma
Hahahahah twende naye taratibu nampata sana huyu hopeless creature!!
Anapenda kujifanya mjuvi kumbe maamuma tu!!!
Mr Zero haelweki labda uwe Zero materialVipi lakini mmemwelewa au akazie maarifa?
Maneno ya nyuma wengi wamesema hata Magufuli kawahi sema JK ni msanii tu na si mtu makini leo kawa boss wake...
Haha unajifanya upo mbele wakati uhuni na uchafu wa tandale umekujaa kichwani.
Wewe kama jeuri basi pita Upanga na sumaye kama sijatemea mate yote wewe na bana ziro toka gorofa
Wakati anamponda Lowassa ulutheri na ukanda hakuwa nao?
Wakati EL na Sumaye wakiwa paka na panya hawakuwa wote walutheri? sasa ilikuwaje?
Mbona Mwigulu Mlutheri lakini anaendesha mashambulizi kwa EL?
Mbona Mangula Mlutheri lakini anaendesha mapambano dhidi ya EL?
Sitta... Mwakyembe je?
Hivi kwanini CCM mnapenda kukimbilia ajenda za kipuuzi zinazoweza wamaliza wenyewe?
Kuna walutheri wangapi wenye nguvu huko CCM ambao ndo mnawatumia kumpiga EL?
Unafikiri wote ni manyani kama wewe mnaokimbilia abracadabra za udini?
Hata kama atakua jiwe basi ni yale mawe ya udongo.
Mr Zero ana UliZwa shamba la Mvomero anasema ni dhambi kumiliki ekari 300,ukawa mnamuelewa nyie tu Mr Zero
mkuu huyu naye anajidai ni ukoo wa panya eti wanahaidi ahad mia kwa sababu wanajua watz vichwa vya kuku awana kumbukumbu kwa hiyo tukisoma post zote huwa atukumbukiHahahahah twende naye taratibu nampata sana huyu hopeless creature!!
Anapenda kujifanya mjuvi kumbe maamuma tu!!!
Siyo dhambi kumiliki eka 300 tena zilizoko Mvomero. Waziri Mkuu kwa miaka kumi savings yake pamoja ni kiinua mgongo hata hizo ni kidogo. Hii nchi imejaa mapori mengi na makubwa ambayo hayana hata wa kuyalima. Tunakaa mijini kazi kulaumu wanao jishughulisha.
Kama haeleweki mbona mnatumia nguvu kubwa kumzima?