Unapokaa mahali kusikiliza hadithi za Pwagu na Pwaguzi usitegemee utapata kitu chochote cha maana, katika uzi huu mleta mada ni Pwagu, waonamuunga mkono ni mapwaguzi.
Hata mimi kusema ukweli ile siku anatangaza kuamia upinzani sikumuelewa, lkn siku zinavyozidi kwenda nazidi kumuelewa
Haha ndio maana nikaamua leo nimuulize JK nayeye amemwelewa Sumaye au bado anahitaji mbinu nyingine za ufundishaji aelewe?
Sumaye anamsubiri mkuu wa malofa BM atie neno amtolee uvivu/amuumbue kwa matakataka aliyofanya wakiwa naye ikulu.
Hata mimi kusema ukweli ile siku anatangaza kuamia upinzani sikumuelewa, lkn siku zinavyozidi kwenda nazidi kumuelewa
Hivi yule mnywa gongo Makongoro kaishia wapi,maana nasubiri nione ile chandimu yake aliyosema ataicheza. Na Bwana Lodilofa pia kaishia wapi?
Na wewe una akili za sisimizi ka Sumaye. Amekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 hadi kipindi chake kilipoisha.
Ni concern gani tena aliitaka toka kwa Serikali. Ni yeye pekee ndo anastahili?
Nonsense.
Du,umenikumbusha ya jangwani mtoto wa mwalimu na uchawi
wa kifimbo na story za chandimu,sasa toka kampeni
zianze kushika kasi sijawahi kumuona,au ndo kusema kifimbo kimedhibitiwa na maombi?