Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,589
- 7,951
tanzania hakuna amani kuna uwoga na upumbafu
Wewe Shapu, do you think properly? Mbona hizi incidences mbili hazifanani hata kidogo ndugu yangu?!! Genocide si walianzisha wao wenyewe watutsi..
We kweli ndo huelewi, yaani genocide walianzisha wa-tutsi?? iweje then waje wafight for their existance. Do you know kwamba watutsi ni wachache sana na Hutus ndo wengi? sasa wataanzishaje genocide.
Kukusaidia ni kwamba baada ya jeshi la kagame kuchukua nchi jeshi la serikali iliyokuwepo ilikimbilia drc, kwa sasa hawathubutu kurudi maana watawekwa kwenye sheria ndo maana wameamua kukaa msituni na kui-disturb drc. Sasa Kikwete anavyomwambia Kagame akae na hao magaidi ama wahalifu wa mauaji ya kimbari ni kama ku-negotiate na jambazi kitu ambacho rwanda inalalamikia. Rwanda inataka hao jamaa washikishwe adabu na si vinginevyo. Ndo maana hata hela zilizoibwa EPA hatuja ona watu wakishikishwa adabu kisawasawa, watu wanaomba warudishe....what the hell?
"These people are too special" if u wanted to use "This" then it should be "This person is so special" or feels special.
Dialogue ndio mpango mzima katika upatikanaji wa AMANI katika nchi hizi za mziwa makuu.... Mkuu wa Kaya amezungumza bila kumung'unya maneno!
Wewe mamuluki umetokea wapi? Wewe siyo mtanzania kiswahili chako kiko too formal. Rwanda hawajambo?Huyu mtu anakwenda kuingilia mambo ya watu ya kwake yanamshinda. Kweli naamini huyu hajachaguliwa na wananchi kuwa rais wetu bali alisimikwa ili alinde maslahi ya viongozi waliopita na ndiyo maana anaiba bila hata huruma kwani bado hajajuwa jukumu lake ni nini hapa nchini.
Du mkuu, ebu sugua ubongo wako. Maswala ya congo yanaiaffect Tanzania. Wakipigana Tanzania inapokea wakimbizi ambao wanahatarisha amani ya nchi. Hivyo Tanzania inahaki ya kuongelea maswala ya nchi za maziwa makuu.Matatizo ya Rwanda na Congo yanawahusu wao wenyewe. Yeye ilibidi aongelee masuala yanayomuhusu yeye na nchi yake kama vile kuwapiga mabomu watu wa Mtwara na polisi wa nchi yake kunyanyasa raia wake. Isitoshe, suala la Malawi na Tanzania ilibidi aliweke wazi pia in that meeting kwani linahusu Tanzania moja kwa moja.
Unajua misconception ni kitu kibaya sana. Hapa naona majority ya comments ni kutoka kwa watu ambao wako ignorant of the facts.
Kwanza rwanda hakuna vita. the last bullet was fired in 1994. Ile nchi has risen from the ashes na sasa imeipita tanzania ambayo for 50+ years ina "amani na utulivu"...Annual Economic growth 8%...kila mwananchi ana bima ya afya...tanzania only 0.005% ya population wana bima ya afya. kule kila mwananchi meaning all hutu and tutsi wamepewa ng'ombe mmoja wa maziwa ambapo ukipata ng'ombe akizaa, unampa jirani yako ndama bure....hii program inalenga sana sana watoto wapate maziwa ili kuondoa magonjwa kama utapiamlo...sasa hivi kesi za malaria zimepungua by 50% kila mwananchi ana sleeping net....nchi nzima watu wana nyumba za mabati serikali imewakopesha wananchi mabati na wanalipa kidogo kidogo...elimu bure....this is just a few of the achievements ambazo sio longo longo....wanasema na wanatekeleza....nadhani nyie wenyewe mnaliona bunge letu hapa na ahadi lukuki lakini impelementation ni zero..bajeti nyingi hapa wana copy na ku paste na kinachonishangaza ni kwamba hata hawafanyi proof reading....unakuta mahesabu yao ni 2+2=5...sasa ndugu zangu tutamsema kagame ni muuaji embu nenda kawaambie wananchi wa huko uone kama hutatolewa nduki kwa sababu ana deliver ahadi zake despite scant resources...
Africa Oye: Kigali the cleanest, safest, fastest and most liveable city in Africa
Kuhusu suala la JK...mie nadhani raisi wetu huyu hajui how sensitive ishu ya FDLR ilivyo kule rwanda...ni kama kuwaambia wayahudi waka negotiate na hittler (if he was alive)...that can't happen...halafu hao FDLR wana $5m on their head....nani atathubutu kujitokeza...mimi nitakuwa wa kwanza kuwakamata nilambe hizo hela..
Kwa wale ambao walikuwa hawajazaliwa in 1994, hebu angalieni hii video hapo chini ya hao FDLR..na ninaomba uiangalie yote halafu uniambie kama unaweza kukaa na hao watu walioshika mapanga na silaha zingine...
Rwanda murders - YouTube
LETS BE REALISTIC HERE.
I don't argue on whether or not Kagame and his Tutsi followers were behind the genocide in Rwanda that left many dead and lots mnore displaced across the world. What I don't agree is for jk to suggest to the Rwandese on the matter. His argument that 'dialogue' is the way forward leaves a lot to question especially coming from a 'weak' leader like himself who does not want to discuss anything with anyone inside his own country. Who is forcing the Masai to vacate their land for the sake of 'investors'. Who wants to 'silence' the people of Mtwara just for airing their misgivings about the building of the gas pipe? Since when has jk himself listened to anyone else? He has never listened to grievances by the doctors, teachers, EAC retirees etc. After mass failures of students in our Secondary schools, did he listen to reason, no. Instead he orders his 'humble servant' the PM to set up a Commision to find out the causes of mass failures... as if he does not know.
For someone who does not even know why Tanzanians are poor while our country is endowed with such riches, who does he think he is to tell other people what to do? He should keep his mouth shut and take care of his own mess first!!![/QUOT]
You have been fighting ex-FAR, then ALIR I, ALiR II, then FDLR for how many years.....? How long do you want the international community to give you an 'open cheque' to kill people and plunder in Congo at the excuse of fighting FDLR....?
jk anaropoka na wamemchana vibaya sana....kaonekana empty headed kabisa...obama anakuja si amshauri akae meza moja na al queda
Mkuu wewe ndio umepatia, nashukuru kwamba Rais Kikwete amekuwa jasiri kwa kuzungumzia tatizo sugu la nchi ya Rwanda, nashangaa hapa watu wanavyo ji-pretend kumlahumu kinafki tu huku wakijua fika kwamba ukabila na watu wengine kujiona ndio bora walio umbwa na Mungu kuwatawala raia wenzao, ni raia gani mwenye akili timamu anaweza kukubali blindly kuongozwa na a few minority 4ever, South Africa should serve as a wake up call; Wazungu walijifanya ngangali lakini baadae wakakubali hali alisi wakabwaga manyanga her military mighty notwithstanding, wakakubali mazungumzo wakaridhihana/samehana nchi ikatulia mpaka leo - hakuna cha kulipizana visasi wala nini, nyinyi mnashindwa nini kumeza your pride na kumaliza matatizo yenu SUGU kiungwana bila ya kutumia ubabe na kutisha WATU!
Ndugu zangu tujaribu kuwa wakweli tukitaka Rwanda iwe na amani ya kudumu mambo kushabekia binadamu wenzetu hita prolong matatizo sugu ya jamaa hawa - tusijidanganye FDLR na Jeshi la Serikali ya Rwanda wote wame commit genocide nchini Rwanda na Congo, hakuna ambaye ni msafi katika hilo, kinacho fanyika hapa ni kubadilisha badilisha maneno kutegemea unamu-address nani hasa hasa lengo kuu ni kutaka kubabaisha International Community! Mauuaji nchi Rwanda watasema ni genocide lakini mauuaji ya harahiki ya Wahutu kwenye makambi ya wakimbizi nchini Congo hayo wanasema ilikuwa ni njia sahihi ya Rwanda kujihami dhidi ya Wahutu sio genocide, je kuna ukweli gani katika upotoshaji huo mkubwa - UN ikiteua an independet team ya kuchunguza idadi kamili ya wahutu walio fyekwa kwenye makambi ya wakimbizi nchini Congo ndio mtashangaa. Wahutu na Watutsi wote are equally to blame katika mambo ya mauuaji, tofauti yao ni njia wanayo tumia kufanikisha malengo yao, I am sorry kulisema hilo na hakuna ninaye mtetea katika hilo.
Naona kuna baadhi ya watu wamemkalia kooni Mh.Kikwete, ukweli wa mabo ni kwamba wanao jitia kumlahumu Mh.Kikwete wanajua fika chanzo cha Wahutu kukasirika kupindukia kilitokana na kitu gani, je mtu aliye washa kiberiti karibu na gunpowder keg alitegemea muhujiza gani baada ya Rais alichaguliwa kidemokrasia kuuwawa kinyama!! Dunia nzima inakuwa held at ransom na makabila mawili ambayo yamekuwa wired kuchukiana tangu utotoni kwa sababu ambazo hazina mantiki kabisa.
Binafsi nampongeza Mh.Jakaya kwa kuona mbali na kuwaeleza ukweli Wanyarwanda wanaweza kumbeza watakavyo lakini kuna siku watamkumbuka, msijidanganye bila mazungumzo na vikundi mahasimu, Rwanda isitegemee kwamba wataweza kuishi kwa amani ya kudumu, wakae wakijua kwamba remnat ya Jeshi la Habyarimani na wao wana uwezo wa kujipanga upya kama alivyo jipanga Mh.Kagame nchini Uganda na wao wakaingia Rwanda kwa stahili hile hile ya Jeshi la Kagame, je wakifanikisha hilo si tutarudi tena back to square ONE, nchi nzima itaendelea kuzunguka in vicious circles miaka nenda rudi mpaka lini.
Nimalizie kwa kusema nimeyasema haya kwa nia nzuri tu, najua kuna watu watanisema sana au kujaribu kumlahumu Mh.Kikwete kwa ujasiri wake - tusubiri historia ndio itatuhukumu.
Kigogo....kwa mzalendo wa kweli anajua nini maana ya statement ya Kikwete....! Suala la Rwanda sio la mchezo-mchezo. Ulipoona mwishoni mwa mwaka jana Kikwete akiteua majenerali 30 haikuwa kufurahisha baraza. Hili sio suala la Kikwete wala la CCM, ni suala la JWTZ...! Uamuzi la kwenda Congo ni maamuzi ya wazee wa kazi pale Ngome, na katika all fronts inajulikana ukipambana na M23 (majina yatabadilika lakini wapiganaji wake ni walewale) unapambana na Rwanda.
watu wasio jua amani sasa wanataka kutufundisha maana ya amani!?..........kwa kweli wameonyesha kutokukomaa......waone mifano kule zimbabwe, africa kusini, kenya nk....... Walivyokaa meza moja kuondoa tofauti zao kwa manufaa ya mataifa yao......kuzungumza na kuelewana na wapinzani haiondoi mantiki ya kutoshtakiwa kwa walio na makosa endapo ushahidi upo......
tanzania hakuna amani kuna uwoga na upumbafu
so ameteuwa majenerari wengi ili ku replace watakaokufa vitani
so ameteuwa majenerari wengi ili ku replace watakaokufa vitani
kikwete is a disgrace to all tanzanians. I am ashamed to call myself a tanzanian after such unwarranted remarks by someone in the high office. Seriously i have never been impressed by any of his speeches, given locally or internationally. Not only that he is ill-advised, it seems he has no idea at all of what is going on in both local and international politics. He attends these summits only to show his 'smiling face' and collect the allowances that come with them. I am yet to read even a single 'paper' be it a seminar paper, an article, a book or a dissertation, to make me believe that we have a competent leader who can represent a learned perspective in international matters.
For a leader who fails to address even local issues such as tensions about religion and the right to slaughter, whereas we have a clause in the constitution that speculates exactly the government's stand on religion, how can he start telling the rwandese how to deal with a bigger crisis? And he proudly calls himself dr! Shame on him and on all those who sing his praise...