Kikwete ni mzigo kwa taifa.

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
hana vision, hana plan, hana lolote. yaani yupo yupo tu ili mradi yupoyupo. he is a joke. simpendi kama nini! 6 years in power, nothing tangible delivered. kazi kuchekacheka tu. what a president is this? ivi Mungu ana mpango gani na sisi Watanzania?
 
Taifa lipi? Hili linalomomonyoka likiwa mikononi mwake? Ningekua mhariri wako ningeanza na kichwa "Taifa ni mzigo kwa Kikwete"...hence nimekusoma mkuu,ni changamoto tu nilikua natoa
 
hana vision, hana plan, hana lolote. yaani yupo yupo tu ili mradi yupoyupo. he is a joke. simpendi kama nini! 6 years in power, nothing tangible delivered. kazi kuchekacheka tu. what a president is this? ivi Mungu ana mpango gani na sisi Watanzania?

Alichaguliwa kwa sababu ya sura nzuri...
 
Ninachojisikia faraja nafsini mwangu, licha ya watu wengi kuingizwa mkenge na huyu msanii kwenye uchaguzi ule wa mwaka 2005, lakini mimi kura yangu nilimpigia Freeman Mbowe. mwaka 2010 Huyu msanii amerudishwa madarakani na NEC na sio kura za Watanzania, ushahidi ingia kwenye website ya NEC mpaka leo hawana final results, ni utata mtupu. kwahiyo sina cha kujutia.
 
Raisi asiye na uwezo wa kufikiri hata kutenda vilivyo wazi! Zaidi ya ufisadi Hana ajuacho.....Hii ni laaana kuwa na kiongozi wa namna hii
 
Na tutalia sana mpaka tukome,subiria bajeti ya Serikali siku sio nyingi ndio mtaongeza kelele Kama vuvuzela,,,,,,,baaada ya miaka minne kuisha bado mtaibiwa na Nec na wimbo wenu hautabadilika sbb mmezoeleka kwa kelele bila vitendo
 
HANA UWEZO WA KUUMIZA UBONGO NA KULETA NEW IDEA, ANAFIKIRI AKILI ZA UASHERATI ZINAWEZA LETA MABADILIKO,NDO MAANA ANAOA MKE WA KIARABU KWA SABABU AKILI IMELALA INATOA MWANYA WA KUWAZA SANA UASHERATI,WANAUME WENYE AKILI WANAUMIZA MAVICHWA:frusty:
 
acheni kumsingizia Mungu, wakati mlikwenda kupiga kura ninyi wenyewe na Mungu akawapa mlichotaka.
 
nilifikiri ni mimi ndo nimeona kumbe wabongo kibao mmemshtukia duu..haya sasa tufanye nini ili tuwezekufanikiwa..
 
Raisi asiye na uwezo wa kufikiri hata kutenda vilivyo wazi! Zaidi ya ufisadi Hana ajuacho.....Hii ni laaana kuwa na kiongozi wa namna hii

Wengine wakathubutu kumuita eti ni chaguo la Mungu! Tumemkosea nini Mungu siye Watanzania mpaka atupe Rais wa hovyo kiasi hiki!

Kama Rev alivyosema ni laana.
Na bado itaendelea kuwatafuna....nasikia mna mawazo ya ujamaa (kurudisha ujamaa ikiwemo Azimio la Arusha). Poleni
 
Naomba pindi Tz itakapoungana na rafiki zake China & Russia kulaaani mauaji ya kikatili ya Osama bin Laden na majeshi ya America. Asante
 
Naomba pindi Tz itakapoungana na rafiki zake China & Russia kulaaani mauaji ya kikatili ya Osama bin Laden na majeshi ya America. Asante

Oop! Sahihisho
Naomba KUJULISHWA pindi Tz itakapoungana na rafiki zake China & Russia kulaaani mauaji ya kikatili ya Osama bin Laden na majeshi ya America. Asante
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom