Kikwete ni mzigo kwa taifa.

Sasa mbona akijitokezaga bara barani mnamshangilia kwa nguvu zote kitu kinachoonyeshwa anaungwa mkono. Na siku ya kujiapisha kuwa raisi watanzania mlijaza uwanja hadi ukawa mdogo na mbwembwe kibao, au wale walikuwa mamluki?

Tumzirie mikutano yote na nguvu ya umma iandaliwe kumuondoa ikulu manake ni kama ana i-misuse ikulu yetu..
 
hana vision, hana plan, hana lolote. yaani yupo yupo tu ili mradi yupoyupo. he is a joke. simpendi kama nini! 6 years in power, nothing tangible delivered. kazi kuchekacheka tu. what a president is this? ivi Mungu ana mpango gani na sisi Watanzania?
sio mzigo ni furushi
 
hana vision, hana plan, hana lolote. yaani yupo yupo tu ili mradi yupoyupo. he is a joke. simpendi kama nini! 6 years in power, nothing tangible delivered. kazi kuchekacheka tu. what a president is this? ivi Mungu ana mpango gani na sisi Watanzania?

Uliyeleta topic hii udini unakusumbua!:happy:
 
Dah! nimepata relief kuona nina wenzangu wanaomchukia, mimi sitaki hata kumuona kwenye tv na vihotuba vyake! anabore sana! halafu mnatusingizia wanawake ndio tuliomchagua b'se of smile wakati tuko wanawake tunaomchukia kwa maujinga yake!!!!
 
yes kuna tatizo kama inakuwa rahisi hivyo kwa rais kuutana na waizri mkuu aliyejiuzuru wa kashfa tena wanakutana ikulu .

Inawezekana watu kama kina Chenge ,LA RA wakisema nataka kuonanana rais hakuna wa kukohoa hata rais mwenyewe....... watu wana kashfa lakini ikulu kwao ni kama kempinski.
 
inafahamika nchi hii akitawala mwislamu meneno ya kejeli matusi yatamwandama.mfano alitawa mwinyi nyerere akamwambia nchi inaongozwa na mawaz ya mwanamke.leo kikwete mnam2kana.kwa mkapa mlinyamaza.achen udin na uchaguz wa 2010 ulijaa udini 2
 
Hivi kakosea wapi huyu jamaa au akiba yote aliyoachiwa na mkapa katomb**a! Maana haiingii akilini alipotutoa na alipotufikisha na mwishoni sijui tutakuwa wapi huenda akaja tolewa na NATO km ghadafi
 
Back
Top Bottom