Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.
Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:
"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.

Think outside the box, what abt huyo Malima, Ngeleja wanaotuzngua kila siku nao wamezeeka au?
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.
Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:
"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.
Anajua Dr wa ukweli hatamuonea haya wala huruma kwa yale anayofanya kwa kuwa hashawishiki kirahisi, ndo maana kwa kuangaliaa mbele anaona kabisa kwa kuwa nchi kwa sasa inaimani na CHADEMA hivyo anajribu kuangalia ni kwa jinsi gani atalindwa na yeyote atakae kuja baada yake. Maana ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA. Anajua kijana ni rahisi hata kumshawishi hata kwa kutumia umri akakuheshimu kwa umri wako.kwa hio Dr slaa mzee wa kukurupuka akae pembeni kule chadema na kumuachia kijana Zitto
Good, kwa maana hiyo Mbowe & Slaa OUT ! safi sana
Good, kwa maana hiyo Mbowe & Slaa OUT ! safi sana
Ben,
Hio kauli mbiu ndo yetu CDM au? i like it, i will carry it with me.
Iam wondering kama kweli Watanzania tuna ujasiri wa kufanya mambo mapya.Jamani kugombea urais sio treason.Posts nyingine ziko interesting kweli
Our young, vibrant and educated corporate,political,social leaders are being overshadowed by discredited men looking forward to presidential burials. Other African countries that used to look up to us are offering solutions from how to conduct fair elections to kicking us out.
What does that say about Tanzania? It means we are not ready to change the old ways that plunged us into darkness after Independence. With all the talents in the Land, reasonable people know that if you do not want the same results in tanzania, we have to look for fresh new solutions. The threat of disunity or lack of independence is not the burning issues. If anything, most Tanzanians are so fed up with the amplified disparity, that they are willing to try anything, including peaceful separation rather than kill one another to achieve economic independence.Ni lazima tujipange upya after 50 years on
Tuliwahi kujadili mada moja ililetwa hapa kuwa CCM wana mpango wa kumshawishi zitto ahamie NCCR ili awe mgombea urais kupitia NCCR na hapo UWT watafanya mambo yao yaleeeeee ya 2010 kupitia sanduku la kura na Zitto ataibuka mshindi wa pili na wa tatu CUF na CDM wakiambulia nafasi ya nne hapo utakuwa mwishio wa CDM na dr. wa ukweli.JK anachokifanya ni kuwakumbusha kina zitto na NCCR waanze kupiga jaramba maana muda unakaribia wachukue chao mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Ben,
Acha spinning na upotoshaji kwa maslahi yenu.Acheni kuwachanganya watu,acheni kuwapotosha watu.Lugha uliyotumia hapa inaonyesha dhahiri unampigia Zitto kampeni na pengine kubadilisha mtazamo wa Jukwaa hili la Jamii forums juu ya Zitto.Sijui ni ajenda gani ya siri mliyo nayo.msitumie taaluma zenu kushawishi watu waamini kuendana na matakwa yenu.jeuri yenu itawagharimu.ninyi mna ligi yenu ya waroho wa madaraka.huo mtandao wenu tutauona,nilishakushauri sana kama unakumbuka uachane na kambi ya akina Zitto itakupotezea kipaji chako ulicho nacho na taaluma yako.kumbuka unaaminika sana.Hata ile siku ya uchaguzi ulishauriwa uachane na kundi loote litakalokufanya uwe upande wa wasaliti wa chama hukusikia.Jeuri yako itakuponza.nimekushauri tu kama dada yako mwenye matumaini makubwa na wewe siku za usoni.now it is up to you uamue kusuka ama kunyoa.
Hawa ni wasaliti walishamtanguliza kafulila.Chadema itafanya uamuzi mzuri tu msijali.siku hizi mwenzetu amepata makundi mbalimbali yanayomuunga mkono ndiyo maana unawaona hata watu kama akina Ben Saanane wanatumia kila fursa inayotokea kujenga mtandao wao.chadema haiogopi kumfukuza mwanachama yeyote,hakuna mtu maarufu kuliko chama ndiyo maana shibuda atakiona cha moto soon.sisi tunajua jinsi ya kuchukua uamuzi tofauti na magamba na rais wao.Ni bora watoke mapema ndani ya chama wasitubabaishe bwana