Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

JK amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya.

Najiuliza maswalii mengi:
Je, JK anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake EL?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi Nape au Zito?!.

Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama SAS huenda tungepiga hatua.

Ulivyosema Nape nimeelewa,kwani ni kijana wa kwenye chama chake.Lakini ulipomtaja Zitto,umenichanganya kidogo.
 
JK amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya.

Najiuliza maswalii mengi:
Je, JK anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake EL?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi Nape au Zito?!.

Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama SAS huenda tungepiga hatua.
kama ni kweli basi alikuwa anamaanisha mimi. maana ukweli haujifichi.
 
Mkuu Gama ingawa tunaelewa ulichomaanisha ila naomba fanya marekebisho ya neno "kuridhiwa".

Majuzi alituambia wanataka Spika mwanamke matokeo yake tuna Spika sawa na mama wa nyumbani asiye na amri kwa wanae anabaki kulalama "Zitto kaa chiniiiiiiiiiii",

Tutamchagua Rais 2015 kutokana na historia yake na uwezo wake wa kiuongozi.
Rais dhaifu na mwoga kwa kisingizio cha "utawala wa sheria" mwisho wake ni 2015.

Hivyo vigezo vya ujana ama jinsia wabaki navyo huko huko kwenye chama chao, wameshatuharibia nchi vya kutosha sasa twasema YATOSHA!

Tumchague darasa la 7 na cv ya U DJ -Birikana. Au unaonaje mkuu.
 
How old is Membe?? maana naona ndio chapuo linaendelea
 
atakuwa ni rais wa kwanza Tanzania kumaliza muda wa miaka 10 madarakani as a weak perfomer ever tangu uhuru wa nchi hii. Huyu huyu atuchagulie tena Rais??

Kudos to you mkuu!

Na kama vijana wenyewe ndiyo hawa akina Zitto na Makamba Jr ni heri tuendelee nao hawa hawa vikongwe wetu!

Vijana wenzetu akina Zitto wametuangusha sana kwa kweli!Hawaeleweki na hawajitambui na ni watu wanaofuata siasa za hovyo hovyo tu!
 
Hiyo kauli anaanisha huyo anayempigia gitaa aipeleke nchi na kuiweka sehemu mbaya kama alivyofanya yy. Tumuondoe kabisa yy na wafuas wake pamoja na chama chake fisadi!
 
Huyu mzee anazeeka vibaya sana..ni wa kumdharau tu ....
 
jk amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya.

Najiuliza maswalii mengi:
Je, jk anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake el?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi nape au zito?!.

Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama sas huenda tungepiga hatua.
mungu kubaliki sana kwa hili
 
JK amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya.

Najiuliza maswalii mengi:
Je, JK anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake EL?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi Nape au Zito?!.

Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama SAS huenda tungepiga hatua.

Mbona hata EL politically ni kijana tu. Katika mambo ya siasa Nape, Zitto, Liz1 nk sio vijana bali ni watoto na kwenye siasa wazee ni kama akina J. Malecela, Kingunge etc.
 
Akisimamishwa Nape kugombea "urahisi", naingia msituni!
 
kikwete hana uwezo wa kutuchagulia rais ajaye,kwanza keshatuharibia nchi,angekuwa amefanya kazi ya kukumbukwa angekuwa na uwezo huo,sana sana hapo anataka kuendeleza udini aliouanzisha mwenyewe,ovyo!!!!!

Udini upi? Wa kuwafunga mashehe hovyo au. Ongea vitu vyenye mantik si suala la dini.
 
Muendelezo wa ukoo wa panya na ufalme usio na manufaa kwa taifa,naunga dot naona kamakamba kanapigiwa campaign taratibu,njia. Inasafishwa
 
Uamuzi wa nani awe Rais baada ya yeye si wa kwake. Rais anayemaliza muda wake hana haki ya kutuchagulia Rais anayefuata. Ina maana yeye aliwekwa na Mkapa?

Ningependa first,priority tumpe yeye,mbona mchonga alitupa Alhaji,na che Nkapa?.
 
Aende akawachagulie wazanzibari wasio jitambua lakini sio watanganyika.
JK amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya.

Najiuliza maswalii mengi:
Je, JK anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake EL?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi Nape au Zito?!.

Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama SAS huenda tungepiga hatua.
 
JK amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya.

Najiuliza maswalii mengi:
Je, JK anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake EL?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi Nape au Zito?!.

Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama SAS huenda tungepiga hatua.

Umemsahau January Makamba.
 
Back
Top Bottom