humphg
Member
- Apr 20, 2011
- 56
- 5
Hilo pia linawezekana! Unajua usongo huo upo sana kichinichini, lakini haitakuwa jambo la BUSARA kwani nchi yetu TZ haina DINI ila wananchi wake ndio wenye hiyo dini! Tusikubali kamwe hata kuingizwa ktk katiba mpya, italeta mgongano wa hali ya juu! Watanzania tupendane na kuheshimiana bila kujali dini zetu zisitutenganishe!!!!!!!Au ndio maandalizi ya OIC? Ndugu zetu wanadai katiba mpya itambue OIC!! Elimu dunia muhimu.