Kikwete na mawaziri kadhaa kuzuru Muscat Jumatatu 15, Oktoba 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na mawaziri kadhaa kuzuru Muscat Jumatatu 15, Oktoba 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Oct 13, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa kuwa mheshimiwa wetu atakuwa na safari jumatatu ya tarehe 15 kuelekea Muscat.

  Anatarajiwa kuongozana na mawaziri kadhaa wakiwemo Membe, Muhongo, Kigoda, Mgimwa na baadhi ya mawaziri wa SMZ.

  Safari hii amealikwa rasmi na mfalme wa Muscat.

  ***************
  UPDATE: October 14, 2012

  Tanzanian President begins visit tomorrow

  [​IMG]

  MUSCAT — President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania is due to pay a several-day visit to the Sultanate starting from tomorrow. This came in a statement issued by the Diwan of the Royal Court which says: "In crowning the friendship and the historic co-operation binding the Sultanate and the United Republic of Tanzania and in reply to invitation of His Majesty Sultan Qaboos, President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania will pay a several-day visit to the Sultanate starting from Monday."

  During the visit, the president will discuss matters which will boost the existing bilateral co-operation between the two countries to further heights and to serve the joint interests of the Omani and Tanzanian friendly peoples.

  The president will be accompanied by an official delegation comprising Bernard Membe, Foreign Affairs and International Co-operation Minister, Prof Sospeter Muhongo, Energy and Minerals Minister, Dr Abdallah Kigoda, Industry and Trade Minister, Dr William Mgimwa, Finance Minister, Haroun Ali Sulaiman, Minister of Labour, Peoples Economic Empowerment and Co-operatives in Zanzibar and Dr Ali Ahmed Saleh, Ambassador of Tanzania to the Sultanate.


  Source: Tanzanian President begins visit tomorrow | Oman Observer
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sijui safari inalenga kitu gani, labda yule bwana wa DOWANS aliyekuja kimya kimya. Hata hivyo ninachofahamu, Muscat ni wachunga mbuzi kama sisi. Anyway...
   
 3. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo alikuwepo hapa MbAGAla....
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  alienda kuua soo!
   
 5. M

  Michael Nyenza Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali haina fedha za kutufadhili katika mipango ya kuwasaidia walio wengi kama huduma za afya, shule n.k. lakini kwa wakubwa wanatumia watakavyo hata hicho kidogo tunacokusanya kwa manufaa yao..
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Vasco da Gama and the sailors hao wanatalii tuu
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  naona anaanza kuwaambukiza na wenzake.
   
 8. M

  Mwanasazi JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kwani hiyo safari inaweza kuigharimu kiasi gani serikali ?
   
 9. G

  Gangi Longa Senior Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  anaenda kuongelea mambo ya Uamsho na Zanzibar kutaka kujitenga maana wafadhili wao wapo Muscat
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wachumi wetu humu jamvini wanaweza kutufafanulia.
   
 11. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu Jackbauer, at times huwa nadhani hii "mialiko" mingine anaiomba mwenyewe.
   
 12. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  na wao washamtumia suti?hv mama yake dhaifu yu hai? Kama yupo atueleze wakat akiwa mjamzito alisafir sana nje ya msoga au ilikuwa ziara within msoga!
   
 13. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Au ndio maandalizi ya OIC? Ndugu zetu wanadai katiba mpya itambue OIC!! Elimu dunia muhimu.
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sijui!!Membe ndani ya list!!
   
 15. peri

  peri JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hata kama anaalikwa, sio lazima kwenda kila unapoalikwa.
  Unatakiwa uangalie kwanza huo mualiko unakunufaisha nini ndo uende.
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwa kuwa wakirudi hatuwaulizi madhumuni na faida za safari zao acha wakaponde raha!ingekua ni twanga pepeta tungesema wamealikwa kwenye show.
   
 17. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Amealikwa au ameomba aalikwe? Maana vasco da gama kukaa ofisini nadhani mkapa alimwachia kizizi hivyo inabidi asafiri kila uchao ili amalize ngwe yake. Mwaka huu uchumi wetu utakoma.
   
 18. peri

  peri JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wana haki kikatiba kutoa maoni mkuu, sio maandalizi, utakua ni muendelezo wa utalii wa jk wenye manufaa kiduchu kwa nchi yetu.
   
 19. Heavy equipment

  Heavy equipment JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 929
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 80
  wameitwa ili kupanga jinsi gani ndege ya oman itakavyokuja kutua KIA na kuchukua wale twiga, Oman watamwambia waziri mpya wa maliasili anaelewe interest zetu au? Kazi kwa k...sheki ya maige yanajirudia
   
 20. OMBUDSMAN mtoto

  OMBUDSMAN mtoto Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwetu wananchi ni safi kupata habari hizi mapema mapema; kwa hadhi na utendaji wa Ikulu kuna kitu hakija kaa sawa kabisa ni aibu sana taarifa na picha za Mkuu na Ikulu ziko nje nje kila wakati hata kabla ya presidential press releases!

  Usalama wa Taifa, Katibu Mkuu, Mkurugenzi wa Mawasiliano na hata mpiga picha Michuzi mpo????????
   
Loading...