Kikwete na mawaziri kadhaa kuzuru Muscat Jumatatu 15, Oktoba 2012

Sinimeona kwenye web ya pccb kuwa j3 trh 15-16 atakuwa mgeni rasm kweny mkutano wao wa mwaka pale mliman city
 
Si amerudi juzi tu toka canada na usa hanaga hata muda wa kupumzika,da kweli kazi tunayo
 
Tanzania ni zaidi ya Oman tatizo ni hao mbumbumbu unaowatetea kila siku wameshindwa kusimamia rasilimali zetu badala yake wanaenda kuwauzia waarabu.

Katika nchi 20 masikini wa kutupwa duniani Tanzania himo toka enzi za Nyerere mpaka enzi za Kikwete. Kumbe Migodi ya Tanzania wameuziwa waarabu.
 
Katika nchi 20 masikini wa kutupwa duniani Tanzania himo toka enzi za Nyerere mpaka enzi za Kikwete. Kumbe Migodi ya Tanzania wameuziwa waarabu.
Sijakuelewa, mkuu nilikuja Dar lakini sikukupata mafridge nimemuuzia mtu mwengine
 
By Hasan Kamoonpuri — MUSCAT — A number of key agreements and events will see the light of day during the forthcoming state visit of Tanzanian President Jakaya Mrisho Kilwete to Oman next week. The Tanzania Business Forum will be held on October 16 at Al Bustan Palace Hotel at 9.30 am in which President Kilwete will deliver keynote address. At the end of this important event, Omani and Tanzanian authorities will sign an agreement to establish Oman-Tanzania Business Council.
This was stated by Tanzania’s Ambassador to the Sultanate, Ali Ahmed Saleh, at a press conference here yesterday. Speaking to the Observer on the sidelines of the conference, Saleh said during this visit, the two sides will sign an agreement on the “Promotion and Protection of Investment”. This, along with the Oman-Tanzania Business Council, will act as a catalyst to unlock the potential of bilateral trade and investment between the two sides, he stressed.
An agreement on “Political Consultation” will also be signed, which will go a long way in bringing the two brotherly countries closer in important fields. The two countries will also sign an agreement on “Records and Documents”, which holds out much significance in view of the fact that the two sides have a long-standing period of shared history and sharing some documents and achieves may help unearth important historical facts about the relations.
Last but not the least, a deal on facilitating co-operation between the two countries in the field of higher education is also slated to be signed during this visit. Saleh said Oman and Tanzania have longstanding and cordial relations and the forthcoming state visit of President Kilwete is aimed at opening up new vistas of opportunities so that the bilateral relations reach the level they deserve.
Oman and Tanzania enjoy very “unique and special” bonds of affection, mainly because Oman is the only country outside of Africa, where many people speak Swahili language and Oman shares blood and cultural relations with Tanzania. Over the years, the two sides have witnessed important exchanges of visits with the first president late Julius Nyerere having visited Oman in 1985 and the then president of Zanzibar, Dr Salmeen Amour Juma, also visited Oman. There have also been many ministerial exchanges between Oman and Tanzania, with the Tanzanian Foreign Minister having visited the Sultanate in 2011.
The forthcoming visit of President Kilwete assumes special significance because there is a strong determination on the sides to unlock the full potential for investment and trade in all fields of human endeavour. Tanzania, said Saleh, holds out great opportunities for investment in its livestock and fisheries sector, and farm production. Blessed with millions of hectares of fertile land, water and very suitable weather, Tanzania can be an ideal place for Oman to invest and grow its farm products to meet its requirements. This is how Oman can transform itself from being a net importer to exporter of fruits and vegetables and achieve self-sufficiency in these items and also food security.
Since Tanzania has recently discovered several wells of oil and gas, the two sides can establish linkages in this field for mutual benefits. Oman can also fruitfully invest in a big way in Tanzania’s fast growing infrastructure, roads, bridges, hotels, resorts, as well as in the transport and shipping sector. The manufacturing sector too offers promising investment opportunities for the Omani government and business community, he added.
Most importantly, he, said Tanzania with a population of 41 million people, offers access to a market of 150 million people in its neighbouring countries through the Port of Dar-es-Salaam.
Tanzania is home to some of the world’s most attractive tourist destinations and in recent years there has been an increase in the number of Omani visitors travelling to Tanzania, which has been catalysed by the resumption of direct flights to Tanzania by Oman Air. This has been a building factor in consolidating trade and cultural ties between the two countries.
 
hivi hizo agreement zinazoenda kusainiwa zilishawahi kujadiliwa na bunge letu?ujumbe unaoenda oman ni mzito kweli kweli na maandalizi ya mapokezi yako vizuri sana.
 
Uwezi kufananisha Tanzania Oman, Tanzania level yake ni Somalia na Congo.

Kweli ritz oman wapo level nyingine kabisa wametuacha mbali sana,wana miaka 41 ya uhuru lakini hatua ya maendeleo waliyopiga kwa sisi tunahitaji miaka 50 kuwafikia hapa walipo, na sasa wanajenga air port ambayo itakuwa ni ya pili ya middle east baada ya dubai' wamejenga bandari kubwa sana ambayo kwa sasa ndio kubwa kuliko zote kwa nchi za Gulf ambayo inafanya mpaka service za meli za kimataifa'

Uzuri wa nchi yao siasa imewekwa pembeni huwezi kusikia watu wanapiga siasa mitaani! Wala huwezi kusikia mfalme kaenda kuzindua barabara wala waziri anasimama kweye tv anasema kama wanampango wakujenga kitu laa wao ni vitendo zaidi maneno hakuna
 
Jaman km mtu mzima lazima utoe mmawzo ya kujenga hakuna nchi yeyote inaweza kupata maendeleo bila kuwa na mahusiano mazur na nchi zingine! Tujarib kubadilika sio kila kila kitu kinakuwa kibaya kwako hii inadhiirisha jins gan bado unamawzo mgando! Rais pamoja mawzir tunawtakia safar njem
 
Jaman km mtu mzima lazima utoe mmawzo ya kujenga hakuna nchi yeyote inaweza kupata maendeleo bila kuwa na mahusiano mazur na nchi zingine! Tujarib kubadilika sio kila kila kitu kinakuwa kibaya kwako hii inadhiirisha jins gan bado unamawzo mgando! Rais pamoja mawzir tunawtakia safar njem
hivi kuna nchi zilizo na mahusiano mabaya na tanzania ?
 
Serikali haina fedha za kutufadhili katika mipango ya kuwasaidia walio wengi kama huduma za afya, shule n.k. lakini kwa wakubwa wanatumia watakavyo hata hicho kidogo tunacokusanya kwa manufaa yao..

Brazil alikwenda kutazama kilimo cha nyanya!! Ghana kuona kilimo cha Mananasi!! Huko Muscat ataenda kuona ufugaji bora wa NGAMIA na utengenezaji wa MAJAMBIA. Teh teh teh!! Lahaula!!
 
Kuna taarifa kuwa mheshimiwa wetu atakuwa na safari jumatatu ya tarehe 15 kuelekea Muscat.

Anatarajiwa kuongozana na mawaziri kadhaa wakiwemo Membe, Muhongo, Kigoda, Mgimwa na baadhi ya mawaziri wa SMZ.

Safari hii amealikwa rasmi na mfalme wa Muscat.

***************
UPDATE: October 14, 2012

Tanzanian President begins visit tomorrow

1350157090038846900.jpg


MUSCAT — President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania is due to pay a several-day visit to the Sultanate starting from tomorrow. This came in a statement issued by the Diwan of the Royal Court which says: "In crowning the friendship and the historic co-operation binding the Sultanate and the United Republic of Tanzania and in reply to invitation of His Majesty Sultan Qaboos, President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania will pay a several-day visit to the Sultanate starting from Monday."

During the visit, the president will discuss matters which will boost the existing bilateral co-operation between the two countries to further heights and to serve the joint interests of the Omani and Tanzanian friendly peoples.

The president will be accompanied by an official delegation comprising Bernard Membe, Foreign Affairs and International Co-operation Minister, Prof Sospeter Muhongo, Energy and Minerals Minister, Dr Abdallah Kigoda, Industry and Trade Minister, Dr William Mgimwa, Finance Minister, Haroun Ali Sulaiman, Minister of Labour, Peoples Economic Empowerment and Co-operatives in Zanzibar and Dr Ali Ahmed Saleh, Ambassador of Tanzania to the Sultanate.


Source: Tanzanian President begins visit tomorrow | Oman Observer

itakuwa ya ngapi hiyo?
 
Wawepo hapa nchini au wasipokuwepo hakuna lolote wanachoweza kutusaidia sisi watanzania...
Ikiwezeka katiba ipishe kabisa raisi awe waziri wa mambo ya nje..
 
Back
Top Bottom