kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,751
- 595
Kwetu wananchi ni safi
kupata habari hizi mapema mapema; kwa hadhi na utendaji wa Ikulu kuna
kitu hakija kaa sawa kabisa ni aibu sana taarifa na picha za Mkuu na
Ikulu ziko nje nje kila wakati hata kabla ya presidential press
releases!
Usalama wa Taifa, Katibu Mkuu, Mkurugenzi wa Mawasiliano na hata mpiga
picha Michuzi mpo????????
michuzi akizipost kwenye blog yake tayari ni public domain.