Acha umbeya wewe ikulu imetoa taarifa kama anakwenda kusaini mikataba?au unatulazimisha tuamini mawazo yako?
Halafu oman haiombi msaada toka nchi yeyote duniani inajitegemea kwa 100% ombaomba ni sisi
In March (2011), the Gulf Cooperation Council pledged $20 billion in financial aid to Oman and Bahrain over a 10-year period to assist the two nations in their struggle with Arab protests.
Ngongoseke, next time kabla ya kuandika kitu, jiridhishe una uhakika na unachoandika. Si kila mtu ni mbumbumbu na sio kila taarifa inatoka Ikulu ya Magogoni. Umesoma press statement ya Oman kuhusu ujio wa rais wa Tanzania?