Wanajamvi mapambano bado yanaendelea ya kutafuta haki na usawa, FACEBOOK kuna page imeanzishwa ya kumtaka kikwete aresign, kama wewe ni member wa facebook endeleza mapambano kwa kulike hii page on the link below....... watu wakijoin wengi itasaidia kugain attention ulimwenguni na hatimaye mambo kubadilika
President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook
View attachment 24466
Kukosa Fb kama gharama ya kumuondoa jk ni faida kubwa kwa taifa zama la Tz.Chonde chonde! He will blow out the whole facebook!
Na fb ilivyo nzr!! Tukiikosa itakuwa issue
Akisha resign halafu? hebu nitajieni malaika waliobaki kwanza, wanaoweza kutuongoza.
hatuna umeme kwahiyo access yetu ya facebook ni limited; mgao wa umeme ni blessing in disguise kwa mkwere!!
This is a wishful thinking. Kwa akili yako unaamini kabisa kwamba kwa njia hii unaweza kuiminya demokrasia na ku-impose unachokitaka wewe. Nenda uarabuni kama unataka, siyo utuletee uchochezi wako. Hapa sisi tunakosoa lakini hatuwezi kujiingiza katika vitendo vyako vya uhaini!
Chonde chonde! He will blow out the whole facebook!
Na fb ilivyo nzr!! Tukiikosa itakuwa issue
Kwa kweli sina kinyongo na nafasi yake huyu jamaaa ila kwa mambo haya hapa chini inaonyesha anamapungufu ambayo ni lazima ajiuzulu haraka ili wengine waje watengeneze mambo vizuri zaidi;
1. Kwa kushindwa kudhibiti bei ya vyakula na bidhaa muhimu maisha ya mtanzania wa leo hayaendani kabisa na kipato halisi kwa hili tafadhali mkwere mwenzangu tafakari na kisha chukua hatua thabiti.
2. Kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji waliochini yako hata pale wanapotenda makosa ya kusababisha vifo vya makusudi na usumbufu usio wa lazima kwa ndugu zetu na watanzania wenzetu hakika ni kosa kubwa kaka nenda tu na watanzania tutakukumbuka kwa hali tulizonazo.
3. Kupanda kwa gharama za umeme kila kukicha na kodi nyingi ambazo hazina maelezo kamili katika umeme wakati tunalipa kodi kila mahali hii si haki na halivumiliki mwenzetu kijana wetu na mtanzania mwenzetu nenda tu hata kabla ya Watanzania kukuchoka japo ulichaguliwa kwa kura za wachache wetu ambao hawafiki hata 1/4 ya sisi wenye nchi!.
TAFAKARI YAKO YA KINA KATIKA HILI ITARUDISHA HESHIMA YA TAIFA LETU!.
Akisha resign halafu? hebu nitajieni malaika waliobaki kwanza, wanaoweza kutuongoza.
Viongozi wapo kibao tu!nani aliyejua mtawala wa misri atatoka,ulijua libya itakuwa kama ilivyo sasa,hakuna born leader bwana,any one can lead,leaders are made up
Then you should wait for that to happen. You cannot force us to commit acts of treason just to appease you and other mercenaries for hire. Hands off us please!
wewe kizaz cha kifisadi nyamaza na ushindwe kwa jina la kikweteinawezekana unachoongea ni kweli kwamba hata wali sijala nina miezi! Lakini unamdanganya nani kwamba kwa ku-sign up kwenye huo upuuzi wako ndo mimi na wanangu tutakula huo mkate unaousema? Mimi nitajikwamua kwa juhudi zangu mwenyewe na siyo kuhamasika kwenye vitendo vya kihaini, tena vya mtu aliyekata tamaa ya maisha yake na sasa anataka kujiegemeza kwenye matatizo ya nchi. Tupishe kule!