Nahisi Kuna watu wanatumia vibaya uhuru wao wa habari na Social Networks, Na pia naomba watu wa CHADEMA waje hapa watuhakikishie kama hizi link ni zao!,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo | Facebook
Hiyo hapo juu nina mashaka kwa 100% kwamba Sio ya CDM that one am sure. kama wao ndio naomba wajitokeze na waseme najua wapo humu na wanasoma Post zetu
President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook hii siikubali hata kidogo,
Kuna watu huenda wanataka kuichafua CDM au kuna wana CDM ambao ni watovu wa nidhamu.