Kikwete MUST resign [facebook page]

Hatuna umeme kwahiyo access yetu ya facebook ni limited; Mgao wa umeme ni blessing in disguise kwa mkwere!!
 
Hatuna umeme kwahiyo access yetu ya facebook ni limited; Mgao wa umeme ni blessing in disguise kwa mkwere!!

hata kama umeme ni tatizo ila inatakiwa kukaza ile ile kwa kupost hiyo link kwenye status zetu kule facebook ikiwa ni pamoja na kuwainbox marafiki zetu wa facebook
 
Chonde chonde! He will blow out the whole facebook!

Na fb ilivyo nzr!! Tukiikosa itakuwa issue
 
Wanajamvi mapambano bado yanaendelea ya kutafuta haki na usawa, FACEBOOK kuna page imeanzishwa ya kumtaka kikwete aresign, kama wewe ni member wa facebook endeleza mapambano kwa kulike hii page on the link below....... watu wakijoin wengi itasaidia kugain attention ulimwenguni na hatimaye mambo kubadilika

President Jakaya M. Kikwete MUST Resign | Facebook
View attachment 24466

This is a wishful thinking. Kwa akili yako unaamini kabisa kwamba kwa njia hii unaweza kuiminya demokrasia na ku-impose unachokitaka wewe. Nenda uarabuni kama unataka, siyo utuletee uchochezi wako. Hapa sisi tunakosoa lakini hatuwezi kujiingiza katika vitendo vyako vya uhaini!
 
Nina mashaka sana na wewe....... watu kama nyie mnashindwa kula hata mkate alafu ndio nyienyie mnakataa mabadiliko.......wewe wa wapi wewe!!!!!!!!!!!:mad::blah::pray:

Inawezekana unachoongea ni kweli kwamba hata wali sijala nina miezi! Lakini unamdanganya nani kwamba kwa ku-sign up kwenye huo upuuzi wako ndo mimi na wanangu tutakula huo mkate unaousema? Mimi nitajikwamua kwa juhudi zangu mwenyewe na siyo kuhamasika kwenye vitendo vya kihaini, tena vya mtu aliyekata tamaa ya maisha yake na sasa anataka kujiegemeza kwenye matatizo ya nchi. Tupishe kule!
 
Then you should wait for that to happen. You cannot force us to commit acts of treason just to appease you and other mercenaries for hire. Hands off us please!
 
Inawezekana unachoongea ni kweli kwamba hata wali sijala nina miezi! Lakini unamdanganya nani kwamba kwa ku-sign up kwenye huo upuuzi wako ndo mimi na wanangu tutakula huo mkate unaousema? Mimi nitajikwamua kwa juhudi zangu mwenyewe na siyo kuhamasika kwenye vitendo vya kihaini, tena vya mtu aliyekata tamaa ya maisha yake na sasa anataka kujiegemeza kwenye matatizo ya nchi. Tupishe kule!
mkuu punguza jazba..................
 
Back
Top Bottom