Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Achenii kusema anapotoshwa wakati yeye Ana akili zake tena profesaa
Nakushukuru mkuu, kwa kunifafanulia sababu za mama Mamndenyi kuamua kurudi kundini.Mamndenyi mwanae alipigwa chini mkopo ndio akili ikarudi
Well said, si huyo jamaa yetu, majuzi tu alirudi na PhD yake toka kule kipande ya Uchina?Achenii kusema anapotoshwa wakati yeye Ana akili zake tena profesaa
Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.
Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.
Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.
Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.
Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.
Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.
Mh. rais fungua macho uone.
Argue don't shout!!!!
Kweli nimeamini saa ya ukombozi yaja!!!!! Leo Assadsyria unaandika haya! Au kuna mtu kaiba ID yako?
mkuu kwan VP mm nimemquote nape na ole sendeka wakisisitiza kuhusu kuchukuliwa hstuaww unashangaa nn
Kumbe siku moja moja, na wewe assadsyria3, unajuaga kutoa hoja za msingi zenye maslahi ya Taifa?!
Miongoni mwa post chache sana, ulizowahi kuzitoa humu JF zenye maslahi ya Taifa, hii itakuwa mojawapo.
Kwa post hii, unadeserve hata kupata LİKE yangu!
Hata hivyo kwa post yako ya leo, usitarajie kupewa LİKES kutoka kwa 'members' wa Group lako,kama akina Simiyu yetu, msalani, FaizaFoxy na wengineo wa ile timu ya 'green' lakini usijali kwa kuwa utazivuna LİKES nyingi sana kutoka 'kundi' la upande wa pili!
haa haa bado unafanyia kazi majungu? Muhongo ana makosa mengi kuliko hata tibaijuka.Kwani muhongo kosa lake liko wapi mafisadi kawabana sasa mnahangaika pakutokea hamuoni mujongo kawanyima raha mafisadi kwa kuzuia wizi pale tanesco na wizara ya nishati na madini sasa mnasumbuka.
Umeme vjijini ni kazi ya REA walopokea mkopo toka MCC USA..
Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.
Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.
Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.
Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.
Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.
Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.
Mh. rais fungua macho uone.
Argue don't shout!!!!
Amtose muhongo kwa sababu zipi?umbea na chuki binafsi?
Rais haongozi nchi kwa mawazo ya watu wa social media. Anafuata kanuni na sheria zinasemaje.
Jamii forum ina watu laki 2,wanaosema hawamtaki muhongo hata elfu 2 hawafiki,na hawatoi sababu kwa nini atolewe au makosa yake ni yapi,eti hao ndio rais afuate ushauri wao.
Nchi inaongozwa kwa kanuni na sheria,sio social media.