Kikwete, Muhongo ni bomu litakulipukia

Kikwete, Muhongo ni bomu litakulipukia

muhongo jizi tu linalo jificha ndani ya kwapa la kikwete,lkn siku zake zinahesabika na wote na huyo anaemficha,wataadhirika.
 
Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.

Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.

Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.

Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.

Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.

Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.

Mh. rais fungua macho uone.

Argue don't shout!!!!

Ni wewe au ni mtu katumia id yako au nimetoka usingizini,kama ni wewe kweli sasa naona umejitambua
 
Back
Top Bottom