Kikwete, Muhongo ni bomu litakulipukia

Kikwete, Muhongo ni bomu litakulipukia

hili bomu linakaribia kumlipuikia na kumsambaratisha vioungo vyake. kikwete ataiua CCM hata kabla hajaondoka madarakani.
Lazima uanze kufa wewe kabla ya ccm jk siyo mtu wa kushinikizwa kuchukua hatua kwanza kosa la muhongo liko wapi kama kweli unaakili timamu.
 
kusingizia watendaji na washauri kumuangusha rais- -ni ujinga uliopitiliza, yeye ana akili na macho ....... huenda ikawa escrow ni deal lake na washkaj zake kina mama tiba....who knew simba trust before...... muhongo and jk sits on -the same bench........yule muhindi ndiye refarii........-
Kwani muhongo kosa lake liko wapi mafisadi kawabana sasa mnahangaika pakutokea hamuoni mujongo kawanyima raha mafisadi kwa kuzuia wizi pale tanesco na wizara ya nishati na madini sasa mnasumbuka.
 
Adui yako muombee ''njaa''. Prof. Muhongo aachwe tu mpaka October ili UKAWA waifufue issue hii na wawe na pa kuanzia wakati wa Kampeni za Uchaguzi
 
Amtoe nae atolewe siri zake.
Kwa sisi wapinzani ni poa maana tutampigia nalo October 15
 
Hiyo kauli Huwa Inanikera sana!! Kiongozi mzuri wa wapi? Unaposhauriwa si na wewe una akili? Jtuachetmtindomwankusingizianwashauriskwari kwa kwa matendo ya washauriwa!!
nais Kinaete na kiongozi mzurimzwashaurisnauri na wanambe waliomzunguka wanampotosha.

Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.

Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.

Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.

Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.

Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.

Mh. rais fungua macho uone.

Argue don't shout!!!!
 
Asante mkuu assadsyria3 kama nilishawahi kukudharau(definitely yes)nadhani ni muda wangu wa kuanza kukufikiria upya,unaniruhusu? Au kuna kitu umepiga kikakupa hisia za haki?
Penye ukweli, uongo hujitenga.

Kila siku zinavyosogea kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mwezi oktoba mwaka huu, wengi wa ile timu ya 'Lumumba FC' ukweli unaendelea kuwaacha huru, na wanaendelea kuzirejesha kadi zao.

Walianza Mamndenyi na lusungo, na kwa post hii ya leo, naye assadsyria3, tumtarajie wakati wowote kuanzia sasa naye 'ataichanachana' kadi yake ya kijani!
 
Last edited by a moderator:
Umeme vijijini kasi ya mohongo tumeiona ila kwa sababu nchii hii watu wakiwa na dili zao na ukawahalibia watakusakama mpaka wahakikishe wanakukomoa sisi watu wa vijijini kazi ya muhongo tunaiona hongera prof. sasa hâta vishoka wamekwisha Tanesco
 
alalae usimuamshe, ukimuamsha utalala wewe, sasa we mwache ambebe, itafikia wakat watanzania tutakuwa hatuna iman kabisa na serikali yetu, na huu mfumo mbovu yeye ndio anautengeneza.
 
Umeme vijijini kasi ya mohongo tumeiona ila kwa sababu nchii hii watu wakiwa na dili zao na ukawahalibia watakusakama mpaka wahakikishe wanakukomoa sisi watu wa vijijini kazi ya muhongo tunaiona hongera prof. sasa hâta vishoka wamekwisha Tanesco

Umeme vjijini ni kazi ya REA walopokea mkopo toka MCC USA..
 
Amtoe nae atolewe siri zake.
Kwa sisi wapinzani ni poa maana tutampigia nalo October 15
Muhongo alishaapa, kama mkulu ataamua kumwaga ugali, naye lazima atamwaga mboga!

Huo mkwara wa Muhongo, nadhani ndiyo umemfanya mkulu, kile kiporo cha Muhongo alichodai kuwa 'atakitafuna' baada ya siku 2 baada ya kile kikao na wazee wa Dar.

Hivi sasa inakaribia mwezi na JK ameshagundua kuwa kiporo kile hakitafuniki tena kwa kuwa tayari kishachacha!
 
mkuu kwa kuwa nasema ukweli kuhusu chagadema. mm ni mzalendo na cn chama
Acha uongo mkuu,wewe ni muumini mzuri wa magamba,kama mimi nilivyo kwa hicho unachokiita "chagadema" na wala sina tatizo na uccm wako,acha kujishtukia,try to be you.
 
Acha uongo mkuu,wewe ni muumini mzuri wa magamba,kama mimi nilivyo kwa hicho unachokiita "chagadema" na wala sina tatizo na uccm wako,acha kujishtukia,try to be you.

mkuu usipende kulazimisha mambo
 
Lazima uanze kufa wewe kabla ya ccm jk siyo mtu wa kushinikizwa kuchukua hatua kwanza kosa la muhongo liko wapi kama kweli unaakili timamu.

Kosa la Muongo utalijua ifikapo Oktoba....nyie endeleeni kumlea MWIZI, msidhani kwamba watanzania wa leo ni majuha kama wale wa eznzi za "Zidumu fikra za Mwenyekiti". Mtakuja kukumbuka shuka kunakaribia kukucha!
 
Umeme vjijini ni kazi ya REA walopokea mkopo toka MCC USA..

Muhogo ni maku tu.

Kuna pesa ngapi zinakuja nchii hii zinaliwa? Kazi yoyote kama haina msimamizi madhubuti ni sawa sawa na bule kwa hili tumsifu prof. tusiwe na roho ya kwa nini?
 
Penye ukweli, uongo hujitenga.

Kila siku zinavyosogea kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mwezi oktoba mwaka huu, wengi wa ile timu ya 'Lumumba FC' ukweli unaendekea kuwaacha huru, na wanaendelea kuzirejesha kadi zao.

Walianza Mamndenyi na lusungo, na kwa post hii ya leo, naye assadsyria3, tumtarajie wakati wowote kuanzia sasa naye 'ataichanachana' kadi yake ya kijani!
Mamndenyi mwanae alipigwa chini mkopo ndio akili ikarudi
 
Last edited by a moderator:
Kikwete anajua bunge haliwezi kushikamana katika hiyo hoja ndio maana hana wasiwasi.

Wabunge wanajua kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi ukitetea upuuzi haurudi mjengoni maana watu wanaona na wanafahamu fika kilichotokea
Serikali za mitaa.
Na hawawezi kumtetea mtu ambaye anamaliza muda wake
 
Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.Mkuu unataka kutuaminis

Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.

Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.

Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.

Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.

Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.

Mh. rais fungua macho uone. Mkuu unataka kutuaminisha kwamba hata ujambazi wa chenge hajawahi kuufahamu?hadi kumuacha atuandikie katiba kwa mikono michafu na kuinajisi baada yakuondoa tunu za taifa? Hapa pia washauri wanahusika? Kama hivyo ndivyo poleni sana wana TZ
 
Back
Top Bottom