Kikwete, Muhongo ni bomu litakulipukia

Kikwete, Muhongo ni bomu litakulipukia

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.

Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.

Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.

Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.

Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.

Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.

Mh. rais fungua macho uone.

Argue don't shout!!!!
 
Hasikii anatafuna eskarow wakati huu. Usimsumbue na usihangaike hasikii
 
Rais kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.
nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kuzani ni upepo tu yatapita. hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri muhongo. kumlinda am a kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe siku likilipuka litakuabisha sn mh raisi.

angalizo;
mh nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua saksta LA escrow kabla halijapoa
mh ole sendeka amedai kupeleka hoja binafsi
mh kafulila pia alisema.
ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani nawaziri mkuu kuanguka.

mh raisi fungua macho uone

argue don't shout!!!!

Ni Siku Chache Tu Zimebaki Kuanza Kwa Bunge. Sasa Kama Wabunge Wote Wa Ukawa Wakaunga Hoja Ya Kutokua Na Imani Na Waziri Mkuu Na Baadhi Toka Chama Tawala Itakuaje? Na Ndicho Kinachosubiriwa, Rais Asisubiri Hii Aibu Muda Umebaki Mfupi Kwake.
 
ofcoz maslahi ya nchi ni muhm
 
Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.

Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.

Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.

Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.

Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.

Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.

Mh. rais fungua macho uone.

Argue don't shout!!!!
Kumbe siku moja moja, na wewe assadsyria3, unajuaga kutoa hoja za msingi zenye maslahi ya Taifa?!

Miongoni mwa post chache sana, ulizowahi kuzitoa humu JF zenye maslahi ya Taifa, hii itakuwa mojawapo.

Kwa post hii, unadeserve hata kupata LİKE yangu!

Hata hivyo kwa post yako ya leo, usitarajie kupewa LİKES kutoka kwa 'members' wa Group lako,kama akina Simiyu yetu, msalani, FaizaFoxy na wengineo wa ile timu ya 'green' lakini usijali kwa kuwa utazivuna LİKES nyingi sana kutoka 'kundi' la upande wa pili!
 
Sikio la kufa halisikii dawa, mwache amkumbatie tuone, kama halitamlipukia yeye basi hii issue itaondoka na ccm. Tusubili
 
Kikwete anajua bunge haliwezi kushikamana katika hiyo hoja ndio maana hana wasiwasi.
 
Kumbe siku moja moja, na wewe assadsyria3, unajuaga kutoa hoja za msingi zenye maslahi ya Taifa?!

Miongoni mwa post chache sana, ulizowahi kuzitoa humu JF zenye maslahi ya Taifa, hii itakuwa mojawapo.

Kwa post hii, unadeserve hata kupata LİKE yangu!

mkuu tatizo unabias mm namrekrbisha yeyote anapokosea mm ni mzalendo
 
PAC 19 ccm 5 upinzani
75% ccm 25% upinzani
hivo maazimio ya bunge n maamuzi ya wanaccm. kikwete think twice muhongo kiukweli hatumkubali
 
kusingizia watendaji na washauri kumuangusha rais- -ni ujinga uliopitiliza, yeye ana akili na macho ....... huenda ikawa escrow ni deal lake na washkaj zake kina mama tiba....who knew simba trust before...... muhongo and jk sits on -the same bench........yule muhindi ndiye refarii........-
 
hili bomu linakaribia kumlipuikia na kumsambaratisha vioungo vyake. kikwete ataiua CCM hata kabla hajaondoka madarakani.
 
Asante mkuu assadsyria3 kama nilishawahi kukudharau(definitely yes)nadhani ni muda wangu wa kuanza kukufikiria upya,unaniruhusu? Au kuna kitu umepiga kikakupa hisia za haki?

mkuu kwa kuwa nasema ukweli kuhusu chagadema. mm ni mzalendo na cn chama
 
Last edited by a moderator:
Rais Kikwete ni kiongozi mzuri tatizo washauri na wapambe waliomzunguka wanampotosha.

Nikianza na mada ya maazimio ya binge ni hatari kudhani ni upepo tu yatapita.

Hili suala ni zito na kama rais huwa unatembelea social media tambua unapaswa kumtoa waziri Muhongo. Kumlinda ama kumtetea ni Bomu unalolipanda mwenyewe, siku likilipuka litakuabisha sana mh. rais.

Angalizo;
Mh. Nape Jana alishauri wahusika wachukue hatua sakata la escrow kabla halijapoa.

Mh. Ole Sendeka amedai kupeleka hoja binafsi,mh. Kafulila pia alisema.

Ni aibu serikali kupigiwa kura ya kutokua na imani na waziri mkuu kuanguka.

Mh. rais fungua macho uone.

Argue don't shout!!!!
Muulize sendeka na kafulila wamepewa shilingi ngapi na mengi kuendelea kumtishia nyau jk?
 
Back
Top Bottom