Kikwete: Mtaumbuka baada ya 2015

Kikwete: Mtaumbuka baada ya 2015

mkuu, hawa hawajui hata maana ya ilani. hawajui pia kama serikali ya ccm inatekeleza ilani yake
Kwani vitu vyote alivyoahidi JK 2010 vilikuwa kwenye Ilani ya CCM? Mfano Machinga Complex kila wilaya ya Mkoa DSM ilikuwa kwenye Ilani wewe Nyambaf?
 
siku CCM itaacha kuwatetea
mafisadi ndio siku hiyo hata mafanikio yake yataonekana ambapo siku hiyo
haitafika!
jk amefanya mengi ya maana ila yanachafuliwa na sifa mbaya ya chama
chake

bora wewe umekiri kuwa JK amefanya mambo mengi mazuri ingawa sikubaliani na hoja yako kuwa anachafuliwa na chama chake. ccm iko imara na ni chama bora kuliko chama chochote cha siasa barani Afrika
 
Kwani vitu vyote
alivyoahidi JK 2010 vilikuwa kwenye Ilani ya CCM? Mfano Machinga Complex
kila wilaya ya Mkoa DSM ilikuwa kwenye Ilani wewe Nyambaf?

wewe kweli mama toto. sidhani kama uliwahi kutongozwa na mwanaume yeyote yule kwa hizi hulka zako mitandaoni. naam machinga complex ni utekeleza wa ilani ya uchaguzi ya ccm 2010 hadi 2015. lengo ni kupanua fursa ya ajira kwa vijana na kutengeneza mazingira mazuri ya kibiashara. hilo hujui? au kwa vile ilani yenu haizungumzi hilo
 
Kiongozi mzuri ni yule anayejiweka nyuma wakati wa kufurahia mafanikio ,na anaejiweka mbele wakati wa mapambano kwenye kipindi cha shida! Ni kwa namna hiyo tu watu wanaweza kupima ubora wa uongozi wake,na si yeye mwenyewe kujipima ubora wa uongozi wake" - Nelson Mandela
 
wa kwanza kukumbuka ni dr slaa na freeman mbowe. hawa watu kila kukicha wanamtukana lakini kimoyomoyo wanampongeza. nakumbuka siku ile wakati JK alipofanya ziara yake jimboni kwa mbowe aliposhindwa kuzuia hisia zake na kutamka maneno yafuatayo: mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jk kajenga marabara nzuri jimboni kwangu kuliko marais waliomtangulia. mwisho wa kunukuu

hiyo barabara aliyomsifia ni kutoka kwasadala hadi masama haikwisha na mkandarasi alishatoa vifaa vyake,hamna kitu pale kaka
 
Chadema wanafanya siasa tu ila wanajua kuwa hakuna raisi bora katika historia ya nchi yetu ya tanzania km jk.
 
Eti kwa MAONI yako UNAVYOFIKIRI SHETANI angekuwa mtanzania angekuwa Chama gani? naomba jibu.
 
Asante Rais Kikwete kwa kauli yako hiyo;
.......Halafu nyie hapa ubaoni tunawaambia kila siku kuwa hakuna zaidi ya ccm
lakini mnajitia wazimu na kutoa matusi na kashfa. Hata hao mnawataja kuwa marais wenu wajao nao
pia wanalipwa posho zao na serikali iliyoko madarakani.

Heshima sana kwa Rais Kikwete, Serikali yangu na Chama Cha Mapinduzi.
.......... chama
 
Last edited by a moderator:

ukapimwe, so mzima!!!
 
mimi naisubili ahadi ya bajaj za wagonjwa huku kwetu na masubili ahadi ya kupiga lami barabara za mlima kilimanjalo.
 
Kiongozi mzuri ni yule anayejiweka nyuma wakati wa kufurahia mafanikio ,na anaejiweka mbele wakati wa mapambano kwenye kipindi cha shida! Ni kwa namna hiyo tu watu wanaweza kupima ubora wa uongozi wake,na si yeye mwenyewe kujipima ubora wa uongozi wake" - Nelson Mandela
umeandika kwa kifupi na nimaneno yenye hekima sana, safi!
 
Back
Top Bottom