ukapimwe, so mzima!!!
Tunasubiri miaka 2 Kigoma iwe kama Dubai
Wewe gamba Rasilimali tulizo nazo zinaendana na vichochoro vinavyojegwa?
Rais , Dr. Jakaya Mrisho
Kikwete amesema wale wote wanaombeza kuhusu utendaji kazi wake wataona
aibu atakapomaliza muhula wake 2015.
Rais ameyasema hayo wakati akizindua mradi wa kusambaza umeme katika
mikoa ya Mwanza na Geita unaofadhiliwa na mfuko wa Changamoto wa
Milenia(MCC).
Rais amesema Serikali yake itavunja recodi ya kusambaza umeme katika
vijiji vingi nchini.
Jk amesema Tanzania inaongoza kwa mtandao wa barabara ambao ni bora
afrika mashariki huku akiwahakikishia wakazi wa Kagera kuwa meli mbili
alizowaahidi wakati wa kampeni ziko njiani zinakuja.
Rais alikuwa akishangiliwa na wananchi wakati wote wa hotuba yake.
Alisema Tanzania ni nchi kubwa kuliko nchi nyinine za Afrika Mashariki
,lakini ina mtandao mkubwa wa barabara kuliko nchi kama Kenya , lakini
akawalaumu watu wanaoisifia nchi hiyo jirani na kubeza mafanikio ya
serikali yake.
Aidha, Rais Kikwete amewashangaa baadhi ya viongozi wa CCM pamoja na
wananchama kushindwa kuzungumzia mafanikio yaliyofikiwa na serikali ya
CCM na badala yake wamekuwa hodari wa kujadili wanapobezwa na wapinzani"
Source: Mwananchi
JK amejitahidi sana kujenga miundombinu japo hela zenyewe za madeni na sijui atakuja kulipa nani.
barabara ya kutoka singida hadi arusha ni moja ya sehemu zilikuwa zinaniudhi sana!!
HONGERA JK JAPO CCM mwisho wao ni 2015
Rais , Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amesema wale wote wanaombeza kuhusu utendaji kazi wake wataona aibu atakapomaliza muhula wake 2015.
Rais ameyasema hayo wakati akizindua mradi wa kusambaza umeme katika mikoa ya Mwanza na Geita unaofadhiliwa na mfuko wa Changamoto wa Milenia(MCC).
Rais amesema Serikali yake itavunja recodi ya kusambaza umeme katika vijiji vingi nchini.
Jk amesema Tanzania inaongoza kwa mtandao wa barabara ambao ni bora afrika mashariki huku akiwahakikishia wakazi wa Kagera kuwa meli mbili alizowaahidi wakati wa kampeni ziko njiani zinakuja.
Rais alikuwa akishangiliwa na wananchi wakati wote wa hotuba yake.
Alisema Tanzania ni nchi kubwa kuliko nchi nyinine za Afrika Mashariki ,lakini ina mtandao mkubwa wa barabara kuliko nchi kama Kenya , lakini akawalaumu watu wanaoisifia nchi hiyo jirani na kubeza mafanikio ya serikali yake.
Aidha, Rais Kikwete amewashangaa baadhi ya viongozi wa CCM pamoja na wananchama kushindwa kuzungumzia mafanikio yaliyofikiwa na serikali ya CCM na badala yake wamekuwa hodari wa kujadili wanapobezwa na wapinzani"
Source: Mwananchi
ameielewa vyema wewe gamba,mkopo wa miradi anayotekeleza utamgharimu mpaka mwanao..gambaz you,tumia akili.Hivi wewe huwa unaielewa mada kabla hujapost au unakurupuka.
na ule uwanja mkubwa wa ndege Kibondo keshaujenga?vp na uwanja wa kimataifa wa ndege karagwe.?Kwenye ilani ya CCM sidhani kama hiyo ipo.
mtaendelea kutumia neno 'mkuu, hawa hawajui hata maana ya ilani. hawajui pia kama serikali ya ccm inatekeleza ilani yake
kesheni mkiomba na mabomba yatatoa maziwa:croc:Tunasubiri miaka 2 Kigoma iwe kama Dubai