Kikwete kwenda Tehrani?

mi nashushia ya mwisho bana, kesho kama ntaamka salama ! nisipoamka salama,nifugie njiwa wangu hapa JF *wanajijua wenyewe*
 
Nani kakwambia mi napenda viazi mviringo...?

Bobu,
viazi ni viazi, hakuna cha mviringo, vitamu, mbatata wala nini !
vyote viazi !

Haya ulale salama, wengine ndio tunaamka
.

JF Chat messenger!!!.

Bandugu tukate ishu, PM zinaweza kusolve baadhi ya personal communication vizuri zaidi kuliko hata hili jamvi la siasa.

Hatukatai vibwagizo visiwepo lakini ingekuwa vizuri zaidi vingeendana na mada.
 
Huyo bwana 'kapop' up from nowhere....utafikiri state troopers wa Indiana na I-70 yao, yaani issues zote walizoongelea hao mabwana kuelekea kwa kibwagizo hujaona!! ila wewe umeona kibwagizo tu??
naona sasa kumekuwa na volunteer JFPD (JamboForums Police Department), na ni no nonsense hata kidogo!!!.
Mzee, hata kidogo haiwezi kuwa 100 per.......utajitia gonjwa la moyo bureeeee.
 
..yawezekana ni hypothetical moderator wa hii thread!tatizo alikuwa hajajitambulisha!
 
Nani kakwambia mi napenda viazi mviringo...?

..wanaopenda kuzuga hupenda pia viazi mviringo!lol!

..seriously though!sidhani kama unaweza spend a good part of your time kuja zuga hapa!au ndio unatuzuga!

..its a fact kwamba umekuja kupata issues na kuzikata pia!au nowdays umekuwa hopeless kiasi hicho!

..nyani,acha kuzuga!
 
Huyo bwana 'kapop' up from nowhere....utafikiri state troopers wa Indiana na I-70 yao, yaani issues zote walizoongelea hao mabwana kuelekea kwa kibwagizo hujaona!! ila wewe umeona kibwagizo tu??
naona sasa kumekuwa na volunteer JFPD (JamboForums Police Department), na ni no nonsense hata kidogo!!!.
Mzee, hata kidogo haiwezi kuwa 100 per.......utajitia gonjwa la moyo bureeeee.

sijui alikuwa wapi watu walipochoma kurasa 32 wkend moja(in 1 hour, one thread), nadhani angepatwa na BP, na sheli juu !
 
SWALI: Kikwete kwenda Tehrani?

JIBU: HAPANA, SI LAZIMA, ANAWEZA KUMTUMA MAKAMU WAKE....

Dk. Shein kuondoka leo kwenda Iran, Misri

2007-11-20 10:07:17
Na Said Ameir

Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohmmed Shein anatarajiwa kuondoka nchini leo kwa ziara ya kikazi katika nchi za Iran na Misri.

Katika ziara hiyo Makamu wa Rais anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa serikali wa nchi hizo kuhusu masuala ya uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na nchi hizo.

Mbali ya kukutana na viongozi wa serikali, Dk. Shein atakutana pia na jumuiya za wafanyabiashara wa nchi hizo pamoja na kutembelea miradi kadhaa ya maendeleo.

Katika ziara hiyo atafuatana na mke wake Mwanamwema Shein, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango, Uchumi na Uwezeshaji, Dk. Juma Ngasongwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar anayeshughulikia masuala ya fedha, Dk. Mwinyihaji Makame.

Wengine ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Seif Iddi na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Christopher Chiza, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Gray Mgonja, Dk. Abdallah Kigoda na Bw. Mhonga Ruhwanya ambao ni wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Source: Ippmedia.

Swali langu; Je, thread hii inaweza kuwa imebadilisha mpango wake wa yeye kwenda Tehrani?!

SteveD.
 
Haya bwana...lakini usishtuke kuona thread imekula detour kali sana na kuelekea kwenye udini na siyo kule unakotaka ielekee wewe kama unavyosema. Sometimes it is not what you say but how you say what you want to say or saying....if you get my drift
Mzee Mwanakijiji
Ana visa sana kwani mara nyingi ni muanzishaji wa mada ambapo mwisho wake si kushangaa ingawa kichwa cha thread yake ni Kikwete kwenda Tehrani? Hapa mimi ninavyo mfahamu Mkuu Mwanakijiji kuna kitu katikati hapo kuhusu safari ya Muungwana. Tusubiri maana huenda safari imeahirishwa kwasababu fulani fulani.
Stei tyun'd
 
Shein anakwenda sasa, ikiwa ni maandalizi ya safari ya Rais pia.. hasa mambo ya Iran na Marekani yatakapo "cottonfire" mwakani...
 
...yatakapo pamba moto.....wow!! is this an english idiomatic expression? or you just made it up?...never heard of it before..lol
 
...yatakapo pamba moto.....wow!! is this an english idiomatic expression? or you just made it up?...never heard of it before..lol

bingo bingo.. hapana somebody did say that kwenye debate shuleni... hakuna siku tulipopata ushindi wa chee kama hiyo..!
 
Afadhali Shein nae wamemkumbuka maana wanakamua wao Tu Jk and EL,... hey! mpaka Kigoda ndani! mambo ya kuuma na kupulizia...
 
Afadhali Shein nae wamemkumbuka maana wanakamua wao Tu Jk and EL,... hey! mpaka Kigoda ndani! mambo ya kuuma na kupulizia...

Imebidi safari hiyo aende Mzee Shein,kwani vyanzo vya Habari vinasema JK ana safari ya Washington DC mwezi Desemba,na pia atakwenda Spain kwenye Mkutano wa EU na AU.Leo Mkuu wa kaya amekuja hapa Kampala kwenye Commonwealth Summit.
 
Nyamwezi anakuja kufanya nini tena huyu....kwani hakununua pamba za kutosha alivyokuja septemba..?
 
Back
Top Bottom