Kikwete kwenda Tehrani?

Kaka,
ngoja nikae kimya kabla sija ruin ka-weekend kangu. Peace!!.

Ngoja nami nikapumzike, nisije haribu haka ka-weekend na hizi post zingine za JF. Ombaomba zaidi ya JK, sijui umejuaje mwenzetu??!! Haya ndugu weekend njema, tuone J3 panapo majaliwa.
 
kwanza kwa nini watu wahoji KIKWETE kwenda iran ?
kwani ameenda mara ngapi huko iran tokea awe rais ?
je kuna reasonable doubt ambayo inaonyesha anaenda kufanya kitu kibaya juu ya watanzani ?
yeye ni rais LAZIMA afanye chochote ili alete maendeleo kwa taifa aliloahidi,
na kama asipofanya hivyo, na asipotekeleza ahadi, mtamlaumu ?
hivi kwa nini wabongo hatuna dogo ?
mbona kaja US mara kibao.
kaja UK mara kem kem, na sikumsikia none of you all say a damn thing ?

Sasa hata kama akienda huko kuna ubaya gani ?
Kada Jakaya Mrisho Kikwete, wee nenda Mheshimiwa ukafanye kazi ili wananchi tupate maendeleo, !
wapinzani ndio zao hizo Mheshimiwa, wao hawana chochote walichoahidi wananchi na hawana kazi ya kufanya zaidi ya kukashifu unayofanya ! Naomba uendelee kupiga kazi mkuu !
 
Kaka,
Kwa fwacts zilizopo mezani udhani Rais Freeman Mbowe angafanyaje?? tuwe wa kweli sio Kumkandamiza tu JK!!! Rais yeyote kwa hali halisi ya Bongo right now, angefanya exactly anavyofanya Mkwere!.

Mkuu ndio maana nasema hizi ni kelele za wapinzani, na kwa chuki zao ndio kwanza zinanifanya niwaone WANAFIKI, maana i dont see anything different watakachofanya zaidi ya kupiga domo ! Bora kidogo wangekuwa na ukweli fulani, kama alivyosema JK kwamba kelele za hawa wapinzani wanaoshinda 24/7 kukashifu kazi za chama tawala ni kazi bure !

wapinzani wanachofanya ni kustation watu wao ili waanze kuponda kila jema analofanya JK na wanatumia "will power" yao kuwavuruga wengine na mawazo yao, lakini ukweli ni kwamba, HAKI YA BINADAMU HATA KAMA NI NDOGO LAKINI PIA MTU ANASTAHILI.

endeleeni kupaka kwamba JK anaenda kucheza, lakini yeye mwenyewe anajua anachofanya, maana ahadi zile alitoa yeye peke yake na wote hapa JF hatukuwepo, so muacheni afanye chochote ili atekelleze alichoahidi !
(wakati anatoa ahadi sikumsikia yoyote akisema kwa nini unaahidi hivyo unavyoahidi, lakini sasa hivi anataka kutekeleza mnaanza kuhoji ?) this is not serious !

Kada JK endelea kada, maana Kizota wanakusubiri mkutano ujao !
 
Well, true CCM ilishinda ule uchaguzi. Lakini ukweli mwingine ambao CCM hawawezi kusema (na wana haki ya kutokusema anayway) ni kuwa performance ya wapinzani katika wa madiwani ilikuwa the best since the introduction of multiparty politics in our country. Yes, we still have a long way to go, but we making progress in the right direction mkuu.

Mkuu,
hapa kweli hili ulilosema nadhani tutajadiliana hadi kiama !
Nani aliyekwambia performance ya madiwani ilikuwa the best kuliko wale wa chama tawala ?
unaongelea katika mikoa gani ?
madiwani hao ukiwaweka kwenye scale from 1-10 (madiwani wote wa upinzani halafu chukua na idadi hiyo hiyo idadi ya madiwani chama tawala halafu compare) unadhani nani wana performance nzuri zaidi ? ukweli ni kwamba kama wakishuhurika pamoja, they might both come out the same, lakini so far katika ngazi za wilaya ALMOST ZOTE TANZANIA madiwani wa chama tawala wamekuwa mstari wa mbele katika performance, tuangalie mikoa ya tanga, dar-es-salaam, morogoro, mwanza, dodoma, lakini sijui kuhusu huko singida, shinyanga na kwingineko !
 
Kaka,
Nimefurahi sana kuona una-question uwezo wangu wa kufikiria!!!.......na-stand kwa maneno ya post yangu huko juu, kwamba Rais Freeman Mbowe naye pia atakuwa ombaomba tena hata zaidi ya JK. Kama unabisha endelea kubisha, na pia endelea kuvurumisha kashfa za rejareja kwa ku-qn uwezo wangu wa kufikiria!!!.....ebo, is this rocket science or Bongo Politics 101!!??? watu wengine bwana......ngoja nikae kimya kabla sija ruin ka-weekend kangu. Peace!!.

hands down ! sina imani na mbowe hata kidogo! na aendelee kustation watu wake katika kila kona ya mitandao kuchafulia viongozi majina na utendaji kazi wa viongozi wetu !

Hivi kwanza kuna kitu gani haswa ambacho mbowe kafanya ambacho kinaweza kunikonvinsi nimkubali yeye na sera zake na kumpigia kura ?? NONE !
wapambe wake njoeni mjibu !
 
Ulichoshangaa bado kinashangaza, hasa pale uliposema kwanini isiwe...
Hivi katiba yetu si inasema mtu ana haki ya kwenda popote ilimradi havunji sheria? Sasa who are you to dictate rais aende wapi na akienda wapi atashangaza...

Pamoja na maelezo yako mengi bado Unashangaza kwa hii thread. Mimi nafikiri imekaa vizuri kwenda kwenye udaku
...

GREAT HAPO !! yaani hata sielewi saa nyingine watu wanafikiria nini, yaani hata kumpa mtu credits pale anapofanya vizuri hawawezi kufanya hivyo !
 
Mwenye thread hajui anashangaa nini. Naona hii ni kama mmoja wetu alivyosema...kilikuwa kinachokonolewa kitu hapa.
Asante MMJ kwa kukiri hujui unachoshangaa.
TUSONGE MBELE!

unashangaa hilo ? kuna siku alikuwa anacheka halafu akasema hajui kwa nini anacheka !
juzi juzi tu hapo, yupo D town, lakini akasema akaona watu bongo wanaingia maofisini mwao usiku ! mtu huyo huyo mmoja !

natoka !
 
Kaka,
Nimefurahi sana kuona una-question uwezo wangu wa kufikiria!!!.......na-stand kwa maneno ya post yangu huko juu, kwamba Rais Freeman Mbowe naye pia atakuwa ombaomba tena hata zaidi ya JK. Kama unabisha endelea kubisha, na pia endelea kuvurumisha kashfa za rejareja kwa ku-qn uwezo wangu wa kufikiria!!!.....ebo, is this rocket science or Bongo Politics 101!!??? watu wengine bwana......ngoja nikae kimya kabla sija ruin ka-weekend kangu. Peace!!.

Tatizo kuna watu humu wanajiona wao wana aakiiili kushinda wengine. Eti wanaona michango yetu mingi kuwa pumba (nakubali si mara zote watu wote huandika mambo ya maana). Sasa mara nyingi mtu akianza kuishiwa au kushindwa hoja anaishia kuhoji akili au uwezo wa mtu kufikiria. Kama wangekuwa na akili hivyo kama wanavyodhani si wangekuwa wameshatatua matatizo kibao yaliyopo bongo.
 
unashangaa hilo ? kuna siku alikuwa anacheka halafu akasema hajui kwa nini anacheka !
juzi juzi tu hapo, yupo D town, lakini akasema akaona watu bongo wanaingia maofisini mwao usiku ! mtu huyo huyo mmoja !

natoka !

Kada,
Huyo bingwa mtu wa kisosora!!, huwezi jua..labda anafuga "ma-jini" huko D-town, jini moja kazi yake ni ku-criss cross Tanzania nzima na kumletea yanayojiri "on demand"!!!. Yupo advanced mwenzio, mambo ya technolojia hayo kwi kwi kwi!.
 
heh teh teh ! kazi kweli tunayo !
 
Tatizo kuna watu humu wanajiona wao wana aakiiili kushinda wengine. Eti wanaona michango yetu mingi kuwa pumba (nakubali si mara zote watu wote huandika mambo ya maana). Sasa mara nyingi mtu akianza kuishiwa au kushindwa hoja anaishia kuhoji akili au uwezo wa mtu kufikiria. Kama wangekuwa na akili hivyo kama wanavyodhani si wangekuwa wameshatatua matatizo kibao yaliyopo bongo.

Kaka Double N,
Ndio hapo sasa, sijui kuna haja ya kusema viwango vya elimu hapa au??? tatizo ndugu wengine wanachukulia mazungumzo hapa " serously to the xtrem" mpaka wanajisahau na kuanza kuboa!!.
Ukirejea thread ya "surgeries gone bad" ya Muhimbili iliyo-anzishwa na huyu huyu buraza K.K, kuna post yangu pale juu ya Milford Hospital......basi jamaa akanikandamiza bila sababu yaani. Wewe kama unamuda nenda kule ni post ya mwanzo mwanzo tu....utaona jinsi gani huyu bwana saa nyingine anakuwa kapania. Anapenda ku-unleash "attack dogs" wake vibogoyo mara nyingi pasipo kuwa na provocation ya aina yoyote!!.
Watu inabidi wajifunze kuchukulia mazungumzo eazy, kama elimu kila mtu hapa anayo, kama ujanja ndio usisema....wanugu wanamsemo wao "educated gangster" nadhani tupo pamoja!...........sio ustaarabu ku-qn uwezo wa mtu wa kufikiria, its rude and uncivilized behavior!!!!!!. In really life uso kwa uso ni sababu tosha ya kumweka mtu kelbu za mashavuni tena hadharani.
 
True that my brother! Wengi wetu tunakuja hapa kuzuga tu. Nina uhakika kabisa impression ya watu wengi waliyonayo kwangu ni kuwa mimi nipo kidizaini dizaini tu..but if they were to meet me in personal, I guaran-damn-tee their jaws would drop!!!
 
Nakuelewa msee, mara nyingine mtu anakuwa na expertize za suala flani lakini akisema tu watu wanaponda!! Mfano kuna memba hapa mshkaji wangu kwa zaidi ya miaka 10 anatumia jina SAIKOSIS........jamaa ni doctor tena Harvard!!!!! Mchizi tu, lakini makini. Kuna siku hapa miezi kadhaa imepita alitaka kushuka shule ya ukimwi.....yeye kabobea anga hizo ana Epide na infectious diseases education ya Harvard school of public health pale Longwood. Hakupewa hata chance yaani watu yengele jiiiingi, mshkaji akaona isiwe taabu akajikalia zake kimya.
Sasa jiulize je kuna wangapi watu wa dizaini hiyo ambao wamefumbwa midomo na hawa critics!??.
 
True that my brother! Wengi wetu tunakuja hapa kuzuga tu. Nina uhakika kabisa impression ya watu wengi waliyonayo kwangu ni kuwa mimi nipo kidizaini dizaini tu..but if they were to meet me in personal, I guaran-damn-tee their jaws would drop!!!

You ought cop some rite now Gee....it's top-up time, tha dose you had a couple of wks ago is waning!!! kno worram sayin...

SteveD.
 
kwanza kwa nini watu wahoji KIKWETE kwenda iran ?
kwani ameenda mara ngapi huko iran tokea awe rais ?
je kuna reasonable doubt ambayo inaonyesha anaenda kufanya kitu kibaya juu ya watanzani ?
yeye ni rais LAZIMA afanye chochote ili alete maendeleo kwa taifa aliloahidi,
na kama asipofanya hivyo, na asipotekeleza ahadi, mtamlaumu ?
hivi kwa nini wabongo hatuna dogo ?
mbona kaja US mara kibao.
kaja UK mara kem kem, na sikumsikia none of you all say a damn thing ?

Sasa hata kama akienda huko kuna ubaya gani ?
Kada Jakaya Mrisho Kikwete, wee nenda Mheshimiwa ukafanye kazi ili wananchi tupate maendeleo, !
wapinzani ndio zao hizo Mheshimiwa, wao hawana chochote walichoahidi wananchi na hawana kazi ya kufanya zaidi ya kukashifu unayofanya ! Naomba uendelee kupiga kazi mkuu !

..kwani,we watu wakihoji unakosa usingizi? mi nadhani wana haki ya kuhoji kwasababu zifuatazo,ambazo ni chache,ila ziko nyingi,
..1.anatumia kodi yao!
..2.ni rais wao.
..3.wangependa kufahamu,out of curiosity!
..4.ili wajue nchi inafaidika vipi!
..5.na muhimu zaidi,wao ndio waliomweka madarakani!

..watu wana haki ya kuhoji kama wanavyomshangilia wanapomwona pia!tupunguze unazi!
 
VIZURI !
lakini huoni sehemu niliyosema kama kuna "reasonable doubt" kusema kwamba rais anafanya kitu kibaya ?

je alivyokuja ulaya, marekani watu walimshikia bango kuhoji kama wanavyohoji sasa hivi kuhusu rais kwenda iran *IMAGINE HE HASNT EVEN GONE YET* lakini watu washaanza kuwashwa kwenye keyboard zao !
uliyouliza wewe kuna majibu katika niliyoandika !
 
nikose usingizi ? why ? i dont live for this, but i bet you wengine hukosa usingizi hapa !

mfano, listi ya mafisadi JF !!
 
Back
Top Bottom