Kikwete kwenda Tehrani?

Hiyo biti tu....si mwenyewe alisema ataunganisha jina la Najisikia na KadaMpinzani. I still maintain that one cannot be banned unless the admins refuse new registrations for new member. As a matter of continngency one may have already register with multiple monikers which were approved by Invisible and when one gets banned, the person pops up with another one...so don't tell me the ban can't be beat.

Nyani, ndiyo maana miye nikasema hapo awali kuwa ku ban computer ya mtu siyo msingi wa JF bans, but the ban aims at participation rather, only that such stringent ban is also hard to implement, for it requires someone with knowledge to decipher and recognise unique patterns in individual's posts. Something that I personaly try to do at my leisure time but not with a high rate of success anyway (deeper into it though)!!

Muhimu ni kufuata masharti ya JF tu, hamna kingine. Najua watu tunapenda kuwa ma rebel towards systems most of the time, but sometimes it boosts nothin but the personal ego whilst consuming precious time in the way.

SteveD.
 
Mwanakijiji,
samahani mzee sikuwepo kwa siku mbili hizi nilikuwa busy sana!..
Nina sahihisho moja tu ktk mjadala huu - Iran sio nchi ya Kiarabu..
Sasa mjomba rudia tena maelezo yako tupate kufahamu haswa kinachokula moyoni....
 
bobu, sikia !

hakuna lolote, majina ni hayo tu mawili kadampinzani na kadasadvocate, sasa inakuwaje yasitumike wakati nishayatumia yote na nikaweka wazi kwamba ni mimi ?

Du kweli wewe ufisadi hupo kwenye damu yako. Tutajie majina yako hyote kuna mengine hujayataja au niyaweke wazi hapa? hii pia ni mtu wa pwani naye ataje majina yake haraka. Amepotea na majina yake yote yamepotea kuzihirisha kuwa kweli ni ya kwake!
 
Mkandara ni vizuri sana tukiendelea kuelimishana kuhusu hili. Iran si nchi ya Kiarabu, ni nchi ya Kiislamu na ni nchi yenye demokrasia hata kuliko Tanzania.

Nilisikia (sina uhakika) kuwa baadhi ya pesa za kampeni zilitoka Iran, kwa hiyo there has to be one way or the other of paying the money back. Ukianza kuangalia ziara nyingine zinazofanya na viongozi weti kwenye nchi ambazo they have nothing much to offer to the country, lazima ujue kuja lingine linaendelea. Hata hivyo unajua kuwa sasa hivi Iran wanatafuta sehemu za kupumua, huenda nchi yetu ni moja.

Kuilinganisha Iran na Vatican ni upuuzi, kwa sababu dini ya kiislam haina feudal or religious Lord anayeheshimiwa kama papa, kwenye capital yoyote. Iran wana viongozi wao, Saudia wanao wao, so as Tanzania, na wote wanachaguliwa kwenye nchi zao, sio kama maaskofu wa Tanzania wanaochaguliwa na Papa wa roma.
 
hapa naomba kuuliza jambo,hivi kuna uhusiano kati ya tanzania na Iran au uhusiano wa rais wa Tanzania na Iran?
 
Kweli huyu mkuu JK simuelewi. Ama anataka kurudisha zama za Hayati baba wa taifa za siasa za kutofungamana na upande wowote? Sisa hizi Mwalimu JK aliziweza kiasi, sasa zijui kwa udhaifu wa mkuu kama ataziweza. Athari ya ziara hiyo (kama kweli ipo)zitategemea na kitu/lengo linalompeleka huk. Lakini inawezekana jamaa anakwenda kutalii kama kawaida yake bila kuwa na kitu serious atakachokifanya chenye manufaa kwa taifa. Yetu masikio, ngoja tusubiri tuone. Kinachoniuma zaidi ni gharama za safari zake, naamini gharama ya safari aliyoifanya USA ingeweza hata kununua ambulance zaidi ya 15 ambazo zingeweza kusaidia kubeba wajawazito huko vijijini. Nimuonavyo JK, na baraza lake lote, travelling is part of their hobe if not ambition na gharama hazisound masikioni mwao.
 
Admin hongera sana mkuu kwa kazi nzuri uliyofanya,hata mimi nikikosa nidhamu niadhibu.

Steve D,
Unaelekea kuwa mtani wa jadi

Kada,
Karibu jamvini mkuu tupambane kwenye hoja ingawa Mugongo amepotea sana
 
Labda anafuata bwimbwi(joke), maana heroin karibu yote toka Afghanstan inapitia Tehran.......migogoro ya Iran na Magharibi ni mikongwe na ilianza pale Shell Oil walipoputwa visima vya mafuta na Mossadat(prime minister at the time), ambaye alikuwa ana-nationalize oil companies. Waingereza wakataka kumwangusha, wakashindwa.....wakaomba msaada toka Washington(hii mambo ni 1950s), Americans kwa kutumia influences za Shah wakafanikiwa. Since then, kumekuwa na 'beef'. Maana Mossadat alikuwa kipenzi cha ma-persia na pia alikuwa kachaguliwa kidemokrasia!!!!.
Kikwete kwenda Iran ni sawa, Tanzania kuwa na ubalozi Vatican pia ni sawa.......wewe MKJJ, muombe tu Kikwete akuletee zawadi ya zuria la ki-persia!!.
 
nipo nashangaa tu kama Rais Kikwete ana mpango wa kwenda Tehrani hivi karibuni au hadi mwakani?

Swali zuri lingekuwa, unashangaa nini? Halafu ndio thread iendelee kuflow. Manake kushangaa kwako so far kumekaa kama mtu kushangaa gari kuwasha taa...
 
Labda anafuata bwimbwi(joke), maana heroin karibu yote toka Afghanstan inapitia Tehran.......migogoro ya Iran na Magharibi ni mikongwe na ilianza pale Shell Oil walipoputwa visima vya mafuta na Mossadat(prime minister at the time), ambaye alikuwa ana-nationalize oil companies. Waingereza wakataka kumwangusha, wakashindwa.....wakaomba msaada toka Washington(hii mambo ni 1950s), Americans kwa kutumia influences za Shah wakafanikiwa. Since then, kumekuwa na 'beef'. Maana Mossadat alikuwa kipenzi cha ma-persia na pia alikuwa kachaguliwa kidemokrasia!!!!.
Kikwete kwenda Iran ni sawa, Tanzania kuwa na ubalozi Vatican pia ni sawa.......wewe MKJJ, muombe tu Kikwete akuletee zawadi ya zuria la ki-persia!!.

I liked it!

SteveD.
 
..huu msemo umekomesha kabisa!

..au kama mtu kushangaa msukuma kula ugali mwingi tena mgumu!

eeheh, sasa na hapo unashangaa nini tena...Yakuwa: wewe huwezi kula ugali mwingi hivyo au unashangaa kwanini wewe umeumbwa lonyolonyo huwezi kula ugali mgumu?!

SteveD.
 
eeheh, sasa na hapo unashangaa nini tena...Yakuwa: wewe huwezi kula ugali mwingi hivyo au unashangaa kwanini wewe umeumbwa lonyolonyo huwezi kula ugali mgumu?!

SteveD.

..steve,una-sip jack daniels hapo nini?

..soma vizuri,sishangai hapo!ila wapo wanaoshangaa!

..btw,suala la chakula ni uamuzi wa mtu/watu!unafahamu urojo weye?

..wapemba pamoja na ujabali wao wanaupenda sana huo!
 
:) nimekuelewa ndugu yangu, si unanijua tena jinsi mie nilivyo na munkari katika mambo ya misosi...mtu aki diss tu kidogo namparamia kwa nguvu zote.... lol, si unakumbuka thread Hii hapa?!, check mwenyewe...

SteveD.
 
nadhani kushangaa kwangu ni kama kushangaa kwa wageni walioalikwa kwenye pati ya Bush na mzee wa Rungu, Kipepe.. wakiwa wanasubiti TV mara ikawa vitu..!!!
 
nadhani kushangaa kwangu ni kama kushangaa kwa wageni walioalikwa kwenye pati ya Bush na mzee wa Rungu, Kipepe.. wakiwa wanasubiti TV mara ikawa vitu..!!!

Mwenye thread hajui anashangaa nini. Naona hii ni kama mmoja wetu alivyosema...kilikuwa kinachokonolewa kitu hapa.
Asante MMJ kwa kukiri hujui unachoshangaa.
TUSONGE MBELE!
 
mbona nilikiri toka mwanzoni na kilichochokonolewa kishajadiliwa.. sasa hivi kushangaa kumeanza kukoma nimebakia kushangaa wanaonishangaa jinsi ninavyoshangaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom