Hiyo biti tu....si mwenyewe alisema ataunganisha jina la Najisikia na KadaMpinzani. I still maintain that one cannot be banned unless the admins refuse new registrations for new member. As a matter of continngency one may have already register with multiple monikers which were approved by Invisible and when one gets banned, the person pops up with another one...so don't tell me the ban can't be beat.
Nyani.. mbona yupo usiniambie hujamuona..
bobu, sikia !
hakuna lolote, majina ni hayo tu mawili kadampinzani na kadasadvocate, sasa inakuwaje yasitumike wakati nishayatumia yote na nikaweka wazi kwamba ni mimi ?
nipo nashangaa tu kama Rais Kikwete ana mpango wa kwenda Tehrani hivi karibuni au hadi mwakani?
Manake kushangaa kwako so far kumekaa kama mtu kushangaa gari kuwasha taa...
Labda anafuata bwimbwi(joke), maana heroin karibu yote toka Afghanstan inapitia Tehran.......migogoro ya Iran na Magharibi ni mikongwe na ilianza pale Shell Oil walipoputwa visima vya mafuta na Mossadat(prime minister at the time), ambaye alikuwa ana-nationalize oil companies. Waingereza wakataka kumwangusha, wakashindwa.....wakaomba msaada toka Washington(hii mambo ni 1950s), Americans kwa kutumia influences za Shah wakafanikiwa. Since then, kumekuwa na 'beef'. Maana Mossadat alikuwa kipenzi cha ma-persia na pia alikuwa kachaguliwa kidemokrasia!!!!.
Kikwete kwenda Iran ni sawa, Tanzania kuwa na ubalozi Vatican pia ni sawa.......wewe MKJJ, muombe tu Kikwete akuletee zawadi ya zuria la ki-persia!!.
..huu msemo umekomesha kabisa!
..au kama mtu kushangaa msukuma kula ugali mwingi tena mgumu!
eeheh, sasa na hapo unashangaa nini tena...Yakuwa: wewe huwezi kula ugali mwingi hivyo au unashangaa kwanini wewe umeumbwa lonyolonyo huwezi kula ugali mgumu?!
SteveD.
..steve,una-sip jack daniels hapo nini?
..soma vizuri,sishangai hapo!ila wapo wanaoshangaa!
..btw,suala la chakula ni uamuzi wa mtu/watu!unafahamu urojo weye?
..wapemba pamoja na ujabali wao wanaupenda sana huo!
nadhani kushangaa kwangu ni kama kushangaa kwa wageni walioalikwa kwenye pati ya Bush na mzee wa Rungu, Kipepe.. wakiwa wanasubiti TV mara ikawa vitu..!!!