Kikwete kwenda Tehrani?

kada una uhakika hauna undugu na Brazameni? nadhani watakufungulia tu.. vinginevyo inawezekana ni "kompyuta yako" ina matatizo..

heheee, yaani nilikasirika lakini sasa nimecheka ! brazamani simjui, na wala sijawahi kuongea nae, na never have i ever had contact with him ! computer yangu po fresh, sop sop nini, si ndio maana siku zote tulikuwa hapa baraza kuu !

one thing about me, ni kwamba am not afraid to say what i know, think, suggest hata kama watu hawapo kusikia, so kama mie ndio brazameni i would have declared that centuries ago !
halafu angalia pm yako !
 
halafu mbaya zaidi, kwenye memberlist hakuna majina yangu yote mawili kadampinzani na advocate ! mhm, haya !!
 
--N.N.

You ought take that dose again, it's waning dawg! takb....

Kada,
Mlaumu Ben! ha ha ha Check HAPA..
Mugongomugongo unatumia jina gani tafadhali jitokeze tu acha woga mi nilidhani wewe jasiri sana(kidding).
Halafu Jamani HUYU MTU ANAEITWA KADA kwa nini aruhusiwe kujisajili mara mbili? Admin. tafadhali hebu liangalie hili na Kada uje ueleze huu utovu wako wa nidhamu unakusaidia nini hapa jamvini

Mkjj,
Je, unapenda au ku-support Iran kuwa na nyuklia power stations, achilia mbali bomb?!

SteveD.
 
Kada...Nyani bana hapa...si ban tulipewa wote au ilikuwa mimi tu?
Mwenzio nshazoea hizi ban....mara nyingi huwa ni za wiki moja

duh ! kaazi kweli kweli ! haya mkuu kumbe wewe Nyani Ngabu (N.N), hehe hehee, naona ulikuwa sailensa ! haya mkuu tukate ishu !

afu kama ban ni za siku 7, mbona brazameni alikuwa banned 2-3 kabla yetu na bado hajaibuka (kifungo changu kinaisha kesho, kumaanisha yeye alitakiwa kuwa online 2-3 ago )? mhm ! something FISHY !
 
--N.N.

Kada,
Mlaumu Ben! ha ha ha Check
HAPA..

Mkjj,
Je, unapenda au ku-support Iran kuwa na nyuklia power stations, achilia mbali bomb?!

SteveD.

yaani itaniwia vigumu kuamini kwamba huyo admn, ndio kafuata ushauri wa ben ili kufuta jinalangu, ina maana halikuwa hajui nini anachofanya ? kwani hajui watu wanatumia majina tofauti tena mengi tu humu ndani ? hadi sasa kuna members kama 6 ninaowajua wanatumia majina tofauti na inafahamika na wachache hilo, achilia mbali majina tofauti wanayotumia mods. kutetea hoja zao na za jamaa zao !

hapa kweli hakujatulia ! 'afu achilia mbali uamuzi wa admn, naamini kabisa some people are behind this !

anyway baadae, nasign out ila nikirudi sijui kama ntakuwa salama na hili jina pia (maana sasa inabidi nichungulie kama wamenifuta au la)(kuwepo kwangu jf kumekuwa kwa kubahatisha siku hizi)
 
--N.N.

You ought take that dose again, it's waning dawg! takb.... Kada,
Mlaumu Ben! ha ha ha Check HAPA..

Mkjj,
Je, unapenda au ku-support Iran kuwa na nyuklia power stations, achilia mbali bomb?!

SteveD.

What's crackin' wicha playa?
Yeah man...I need that stuff again. Today is my Friday so after work I'm going to cop me some more....this time I'm getting that NanoVapor...that ish is strong as hell...so strong just the mere sight of it is enough to concuss you...you've got to be cut from a different cloth to handle...it's definitely not for the weaklings...
 
duh ! kaazi kweli kweli ! haya mkuu kumbe wewe Nyani Ngabu (N.N), hehe hehee, naona ulikuwa sailensa ! haya mkuu tukate ishu !

afu kama ban ni za siku 7, mbona brazameni alikuwa banned 2-3 kabla yetu na bado hajaibuka (kifungo changu kinaisha kesho, kumaanisha yeye alitakiwa kuwa online 2-3 ago )? mhm ! something FISHY !

Hamna bana...sikuwa kisailensa wala nini...wenye kujua walishanstukia longi....eniwei tukate ishu bana....ban inaisha kesho
 
Jamani Mbona Mmenifutia Jina Langu La Kad'sadvocate ??

Mimi Ni Kada Jamani, Mbona Kila Siku Mnataka Nibadirishe Majina Tu ?? Mara Mnaniban, Mnanifutia Jina, Then Whats Next ?

Ukada haukufai; bora endelea na kujisikia.

The JF 2007 Awards:
"The most Inconsistency Award of the Year Goes to......." Kada.
 
yaani itaniwia vigumu kuamini kwamba huyo admn, ndio kafuata ushauri wa ben ili kufuta jinalangu, ina maana halikuwa hajui nini anachofanya ? kwani hajui watu wanatumia majina tofauti tena mengi tu humu ndani ? hadi sasa kuna members kama 6 ninaowajua wanatumia majina tofauti na inafahamika na wachache hilo, achilia mbali majina tofauti wanayotumia mods. kutetea hoja zao na za jamaa zao !

hapa kweli hakujatulia ! 'afu achilia mbali uamuzi wa admn, naamini kabisa some people are behind this !

anyway baadae, nasign out ila nikirudi sijui kama ntakuwa salama na hili jina pia (maana sasa inabidi nichungulie kama wamenifuta au la)(kuwepo kwangu jf kumekuwa kwa kubahatisha siku hizi)

Kada, hapana. Naomba usiilaumu sana Administration ya JF, ban zinatokana na kutolewa kutokana na makosa ya utumiaji wa JF vibaya. Mimi mwenyewe ningekuwa mod ningeweza kukuban kwa kutumia jina tofauti na kujisifia kuwa wewe ndiye yule uliyekuwa banned kwa jina fulani.

Hiyo post ya Ben nimekupa kama mfano tu, lakini huwezi kuthibitisha au kumlalamikia Ben, kwani naye katoa wazo tu. Mimi nikitaka kuwa na majina tofauti naweza, tena mod yeyote hawezi kujua nikiamua, hata IP yangu hawezi mtu akaifahamu, lakini sioni umuhimu wa kufanya hivyo kwa sasa na kunipotezea muda wangu maana naona nafata sheria zote za JF na nimuhimu wote tufanye hivyo, badala ya kuwa na majuto kila leo hii. Wengi tunaweza kutukana, wote tunaweza kusema tupendayo, lakini tumekubali kama member wa forum hii kufuata masharti yake.

Toka ujiandikishe kama Kada'sAdvocate baada ya ile ban ya kwanza, jina hilo lilikuwa halionekani kwenye members list (labda itakuwa vizuri kumuuliza admin kwa hili). Ukikosea masharti ya JF na kuwa banned, kimsingi, Admin ya JF hai ban IP address yako, username yako au computer yako tu, bali lengo ni kukuzuia wewe kama member kutoweza kuchangia hoja baada ya kukosea kama adhabu. Hivyo basi baada ya majigambo yako na hilo alilolidokezea Ben, mimi sioni kosa lililofanyika kama si utekelezaji tu wa sheria za JF. May be this could also be an insight to others trumpeting on their aliases. Shukrani.

SteveD.
 
Mimi nadhani kum-ban mtu ni kazi bure. Kama mtu ahatumia lugha isiyokubalika ni bora kufuta hizo post zake kuliko kum-ban. Hata kama mtu aki-ban-iwa mara ngapi kama yeye ni computer savvy atarudi tu. Hata u-ban IP mara ngapi, nayo ni kazi bure. Wengine IP zetu huwa zinabadilika kila siku kama sio mara kadhaa kwa siku. So unani-ban sasa hivi next hour na sign na jina jingine using a totally different IP that shows my location as Minneapolis while in fact I'm Indianapolis or Montgomery, Alabama. Dawa ni kufuta hizo posts zenye lugha chafu. Banning is not the solution and obviously is not working.
 
Ukada haukufai; bora endelea na kujisikia.

The JF 2007 Awards:
"The most Inconsistency Award of the Year Goes to......." Kada.
DUHHHH, KUMBE MNAONIPONDA MPO WENGI ! hehe hee, tutabanana mumu humu !
heheee, kama wewe ndio wamekutuma uje kuwawakilisha, haki ya nani wamechemsha KULIKO,maana umewawakilisha VIBAYA KULIKO ! teh teh (joking).

lakini uzuri wa hapa ni kwamba, kuna uhuru (sometimes) wa kujiexpress in a good way, so take advantage of it Mkuu !
duh 'afu chekshia, asavali nimepata awadi bana hata kama ya kuwa inconsistent (IF ONLY YOU ARE REALLY SURE OF WHAT YOU ARE TALKING ABOUT) maana nilikuwa hapa tokea kipindi kile nimebadirisha mwelekeo mara moja tu, and this time am not turning my back !
 
What's crackin' wicha playa?
Yeah man...I need that stuff again. Today is my Friday so after work I'm going to cop me some more....this time I'm getting that NanoVapor...that ish is strong as hell...so strong just the mere sight of it is enough to concuss you...you've got to be cut from a different cloth to handle...it's definitely not for the weaklings...

ha ha ha 'ama pm in a min dawg, dont wanna distort the flow of the thread if you know wot i mean.

And on that note, I will leave a link to a BBC Panorama video entitled " The Nuclear Walmart"

Watch the story about the scientist who led Pakistan to having their own bomb, connections with South Africa and others!

Pls click on the picture below to play, documentary begins in 4minutes following a news bulletin.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=Kf-DaaWXoJI[/media]

SteveD.
 
Mimi nadhani kum-ban mtu ni kazi bure. Kama mtu ahatumia lugha isiyokubalika ni bora kufuta hizo post zake kuliko kum-ban. Hata kama mtu aki-ban-iwa mara ngapi kama yeye ni computer savvy atarudi tu. Hata u-ban IP mara ngapi, nayo ni kazi bure. Wengine IP zetu huwa zinabadilika kila siku kama sio mara kadhaa kwa siku. So unani-ban sasa hivi next hour na sign na jina jingine using a totally different IP that shows my location as Minneapolis while in fact I'm Indianapolis or Montgomery, Alabama. Dawa ni kufuta hizo posts zenye lugha chafu. Banning is not the solution and obviously is not working.

kuna kipindi cha nyuma nilisema mwenye kutaka ip yangu akae nae tu as long as asiiweke kwenye public, maana sidhani kama kuna mtu anayejua the REAL IP yangu ! na ntaendelea kuswitch deile when i have to !
 
naona mambo yatakuwa vizuri ila wazo la FNN ni zuri.. ila sasa kufuta tu maneno halafu mtu akayaposti tena si itakuwa ni kibarua. Miye nadhani watu wakijiheshimu inakuwa vizuri au kufanye kile nilichokifanya kwenye Gumzo. Anzisha sehemu ya "Kelele" ambako watu wanaotaka kutukanana na kupigana vijembe wanapelekana huko. Si mnakumbuka enzi za Msingi mkitaka kupigana mnasubiri kengele igongwe halafu ndio mnaelekea kwenye njia zisizopitwa na wengi halafu mnawekeana "puta"..?
 
wewe bana nimekuomba usome pm yako, au unadhani nimekuset up mkuu ? ya huko ni ya huko na hubaki huko huko !
 
Kada, usiwe na wasiwasi.. nimeshasoma na assumptions zako siwezi kudeny au kuconfirm.. natumaini kutakuwa na matokeo mazuri si muda mrefu.
 
Back
Top Bottom