Kikwete kweli umeishiwa!

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,420
2,271
Kitendo cha Rais kwenda kwenye msiba wa Marehemu Kanumba, kimenifadhahisha sana! Na ni kutokana na kuvuruga kabisa uchunguzi wa kifo cha marehemu. Awali lawama zangu zinakwenda moja kwa moja kwa jeshi la polisi kwa kushindwa kuliweka eneo hilo chini ya uchunguzi!

Polisi wameonyesha wazi ni jinsi gani walivyo wavivu na jinsi gani ni wapenda rushwa! Na Kikwete kwenda pale ni kihitimisha cha ulofa katika utendaji katika jeshi hilo.

Haitoshi kwa polisi kutegemea maelezo ya mdomo toka kwa watu wawili ambao walikuwepo kwenye eneo la tukio pasipo wao wenyewe kwenda kwenye tukio!

Eti wanasubiri uchunguzi wa daktari! Then what? Kama haitoshi wamebariki kuwa kifo hicho kimetokana na pombe kali! r u serious?

F.u.c.k u police

http://youtu.be/LRVmEu1QKzg
 
mkuu acha...mm sitaki hata kuwaza maana kanchi ketu ndo ivo tena unaweza pata ugonjwa wa moyo...umeLUSINDE....bo!...na mm kama ivo ulivosema!...au kama alivosema ice cube...lol...*********police
 
Polisi hawana shida tatizo wakuu wameingilia kati na kuweka amri zao...
Upumbavu ni kwa waliochakachua ukweli...
 
Wewe hii ni Tanzania and you will see, Lulu will soon walk free! Wait and see!

Kitendo cha Rais kwenda kwenye msiba wa Marehemu Kanumba, kimenifadhahisha sana! Na ni kutokana na kuvuruga kabisa uchunguzi wa kifo cha marehemu. Awali lawama zangu zinakwenda moja kwa moja kwa jeshi la polisi kwa kushindwa kuliweka eneo hilo chini ya uchunguzi!

Polisi wameonyesha wazi ni jinsi gani walivyo wavivu na jinsi gani ni wapenda rushwa! Na Kikwete kwenda pale ni kihitimisha cha ulofa katika utendaji katika jeshi hilo.

Haitoshi kwa polisi kutegemea maelezo ya mdomo toka kwa watu wawili ambao walikuwepo kwenye eneo la tukio pasipo wao wenyewe kwenda kwenye tukio!

Eti wanasubiri uchunguzi wa daktari! Then what? Kama haitoshi wamebariki kuwa kifo hicho kimetokana na pombe kali! r u serious?

F.u.c.k u police

https://jamii.app/JFUserGuide tha police - Ice Cube (live) - YouTube
 
Polisi hawana shida tatizo wakuu wameingilia kati na kuweka amri zao...
Upumbavu ni kwa waliochakachua ukweli...
Polisi hawana tatizo? Kwa maelezo yao walipata taarifa ya tukio kunako saa tisa hivi usiku... Lakini hawakuchukua hatua yoyote! Hii ni dalili tosha ya kupenda rushwa ama uvivu kama sio uzembe!
 
I see lots of big guns trying their best to save that little bitch from rotting behind bars and am sure all evidence have been twisted to favor the girl.
 
Naona watu wanazidi kufumbia macho kasoro kubwa ya jeshi la polisi katika uchunguzi wa tukio zima... Shame!
 
Polisi hawana tatizo? Kwa maelezo yao walipata taarifa ya tukio kunako saa tisa hivi usiku... Lakini hawakuchukua hatua yoyote! Hii ni dalili tosha ya kupenda rushwa ama uvivu kama sio uzembe!
Unajua kuna askari mmoja wa waliokuwa wanashughulikia hilo suala alikuwa ananiupdate na kwa maelezo yake inaonekana kuna mikono ya watu tayari imeshaingilia kati na analalamika kuwa nchi hii haina haki ingawa bado anasisitiza kuwa Lulu anaweza kuwa huru anytime...
Inaniuma sana
 
Kwa hiyo mwandishi unamaanisha kikwete kaingilia uhuru wa polisi km alivoingilia hukumu ya lema? Unatuambia nini sasa; kwamba kikwete anataka kumrithi sk?
 
Naona watu wanazidi kufumbia macho kasoro kubwa ya jeshi la polisi katika uchunguzi wa tukio zima... Shame!
Labda bado wana machungu later On wataibua tena ingawa kama wanandugu wanatake easy unadhani sisi raia tutafanyaje? Vyombo vya habari ndo vituambie ukweli otherwise sisi watazamaji tu mkuu ingawa tunaona hakuna haki
 
Kwa hiyo mwandishi unamaanisha kikwete kaingilia uhuru wa polisi km alivoingilia hukumu ya lema? Unatuambia nini sasa; kwamba kikwete anataka kumrithi sk?
Kikwete kwa hali iliyoko sasa si mtu mzuri hata kidogo....Imagine baada ya tukio kujulikana mida ya saa tano asubuhi aliiga simu kwa RPC kuagiza cha kufanya kufuatia hili tukio..halafu yanatokea haya maamuzi unadhani tutamuelewaje?
Jamaa hafai hata kidogo
 
Ndo mkome kuchagua wapiga dufu madrasa kuwa marais..baba zima linaacha high office of this country linaenda sinza eti kwenye msiba..pumbafu kabisa
 
Unajua kuna askari mmoja wa waliokuwa wanashughulikia hilo suala alikuwa ananiupdate na kwa maelezo yake inaonekana kuna mikono ya watu tayari imeshaingilia kati na analalamika kuwa nchi hii haina haki ingawa bado anasisitiza kuwa Lulu anaweza kuwa huru anytime...
Inaniuma sana
Huyo askari ana walakini!, kinachofahamika kipo wazi kuwa polisi hawajachukua hatua yoyote ya kuchunguza eneo la tukio zaidi ya maelezo yaliyotolewa. Na leo wamesema kuwa ni pombe kali iliyosababisha kifo! Na hii wamenukuu toka kwa daktari! Yaani wao wamekaa chini tu wakisubiri kuletewa kila kitu mikononi mwao!
 
Back
Top Bottom