Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Unajua mi huwa nafikia mahali natamani hata nisivyo na uwezo navyo kama kutandika bakora hawa watendaji wetu..Huyo askari ana walakini!, kinachofahamika kipo wazi kuwa polisi hawajachukua hatua yoyote ya kuchunguza eneo la tukio zaidi ya maelezo yaliyotolewa. Na leo wamesema kuwa ni pombe kali iliyosababisha kifo! Na hii wamenukuu toka kwa daktari! Yaani wao wamekaa chini tu wakisubiri kuletewa kila kitu mikononi mwao!
hii nchi imekuwa ni ya kuwapa stress wananchi wake na sivinginevyo hata kidogo...
laana ni juu yao