Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa?

Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;

"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.

Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?

Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.

Usimlishe mawazo yako.
 
🤣🤣
 
Mzee alijisahau wachawi bado wapo wanadunda
 
Back
Top Bottom