Meghji is very competent she deserves it!!!
Meghji is very competent she deserves it!!!
Nenda kawaulize watu waliofanya kazi na Meghji, waliofanya kazi na Mramba na Mkulo halafu watakwambia nani anafaa hazina.
English nimejifunza hapa hapa JF mmenifundiaha nyie wana Chadema mnaojua kila kitu!
Nenda kawaulize watu waliofanya kazi na Meghji, waliofanya kazi na Mramba na Mkulo halafu watakwambia nani anafaa hazina.
English nimejifunza hapa hapa JF mmenifundiaha nyie wana Chadema mnaojua kila kitu!
Who taught u english..? old folk, kaoge then touch ur keyboard to post msgs, HAFAI FISADI SANA HUYU, uozo mtupu
Ndiyo mahari hiyoooo, si unajua mzaa chema, ama kweli JK nona
Toka lini alisema ukweli? sasa hivi kila kitu kinaendeshwa kiutani utani tuu. Anajua kuwa WATZ watapiga makofi tuu,hata CHADEMA wakisusia jambo vibaraka wake walio mjengoni watazomea.Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha ya kuwa wasomi wengi waliohojiwa na gazeti hilo wamekerwa na Meghji kupewa ulaji na JK wa kuwa mbunge na huku rekodi yake siyo safi hata kidogo na hivyo kuigeuza hata kauli ya jana ya JK kuwa atachagua baraza la mawaziri la waadilifu na wachapakazi kuwa ni hadithi za alinacha..................
Wasomi hao wameshindwa kuelewa Meghji ambaye alihusishwa na kashfa za EPA ambapo aliidhinisha mabilioni ya mapesa kinyume na sheria bado kuwa kwenye ulingo wa siasa jambo ambalo laweza kuaminika na kusadikika kuwa vita dhidi ya ufisadi siyo kipaumbele cha serikali ya CCM inayoongozwa na JK ambaye hata ushindi wake wa Uraisi una mushkeli mkubwa..................Wengi tunaamini aliiba kura na kujinyakulia madaraka isivyo halali na kinyume cha sheria...............
Toka lini alisema ukweli? sasa hivi kila kitu kinaendeshwa kiutani utani tuu. Anajua kuwa WATZ watapiga makofi tuu,hata CHADEMA wakisusia jambo vibaraka wake walio mjengoni watazomea.