Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni

Status
Not open for further replies.
Kweli mzee anamuonea aibu asije akamnyang'anya kitu, na bado mwisho wake atmpa uwaziri hadi ASAS (mkwe wake mwingine)
 
Nenda kawaulize watu waliofanya kazi na Meghji, waliofanya kazi na Mramba na Mkulo halafu watakwambia nani anafaa hazina.

English nimejifunza hapa hapa JF mmenifundiaha nyie wana Chadema mnaojua kila kitu!
 
Meghji is very competent she deserves it!!!

Buddy do not use empty words, can you prove how competent is she? As for me there are three main reasons at to why she can't be competent
One= As a minister for Natural resources it was chaotic
Two= As a minister for finance and economic affairs you have the answer
Three= she is is not a voted for MP (as for me being nominated as the MP is a failure!)
 
Nenda kawaulize watu waliofanya kazi na Meghji, waliofanya kazi na Mramba na Mkulo halafu watakwambia nani anafaa hazina.

English nimejifunza hapa hapa JF mmenifundiaha nyie wana Chadema mnaojua kila kitu!

Sasa si ungequote tukaelewa umemjibu nani? Mbona unajihami mkuu? Nani kaongelea kuhusu kujifunza kiingereza?
 
mwanamama umri umesogea sana angepumzika japo kwa kazi anafanya kwa kusikiliza majungu na haumbadilishi kirahisi
 
Nenda kawaulize watu waliofanya kazi na Meghji, waliofanya kazi na Mramba na Mkulo halafu watakwambia nani anafaa hazina.

English nimejifunza hapa hapa JF mmenifundiaha nyie wana Chadema mnaojua kila kitu!

Don't expose ur ignorance, eti mkulo, mramba, do you know them? u said Mramba...!!!? ur one of vihiyo no dought, eti kawaulize... unajifanya unajua saana, huna lolote, Meghji fisadi, old folk plus u
 
Ifike wakati izo nafasi kumi za raisi kila nafasi akiteua atoe justification na bunge lizijadili bse anaweza ata kumweka Ridhiwani nani atamkataaaaaaaaaaaaa
 
Ndiyo mahari hiyoooo, si unajua mzaa chema, ama kweli JK nona

Jamani kama kuna mtu mwenye ukaribu na Mama Salma amshauri ajiunge na GREAT THINKERS tuwe tunamuuma sikio maana mambo anayofanyiwa siyo tu. Mbona muasisi wa Taifa hili Baba wa Taifa hakuwa na vitu vya ajabu ajabu kama hivi??????
 
Huyu mama ndio alifanikisha uwizi wa EPA akiwa waziri wa Fedha (wakati wa Rais Mkapa) halafu akamtupia lawama mbuzi wa kafara Daudi Balalli kua eti Balalli alimwambia a sign bila ya yeye kusoma alisign nini. Zile pesa za wizi huo ndio zili finance kampeni iliyomwezesha Kikwete kua Rais mwaka 2005. Sasa Kikwete anamleta tena Serikalini Zakia ile awezeshe tena CCM kuiba pesa za kufinance kampeni ya 2015
 
Kwa mtaji huu inaonekana EPA No.2 inaandaliwa. Usishangae akarudishwa wizara nyeti kabisa ili mapesa yaanze kuandaliwa kwenye malori kwa ajili ya uchanguzi 2015. Chunga sana!
 
Kwa kweli sijafurahishwa na kitendo cha kuteua mtu ambaye ni REJECT kila mahali. Nitashangaa sana kuona wagombea waliokataliwa majimboni na WANANCHI wanateuliwa tena kwenye hizi nafasi kumi. Haileti picha kwa jamii nzima kuhusu umakini wa kuiongoza hii nchi. Naomba washauri wa mheshimiwa hao watu wapelekwe kwingine sio kutumikia wanainchi. Kukubalika chamani sio kukubalika kwa wananchi, vyote vinaenda pamoja.
wengi wamechangia kuhusu mama mkwe, mi nadhani sio vizuri kumtuhumu rais kwa jambo ambalo hatuna uhakika nalo. Wapo wengi waliochaguliwa hivyo mfano Uganda Mke wa rais ni wazima nk.. Hapa kwetu bado. Naomba tuhoji uteuzi na historia ya kuboronga ya huyu mama na hasara aliyoingizia nchi. Mfano mbona Dk shein hakumteua Nahodha huko Zanzibar? kwani hakuliona hilo? Kwa hiyo bara ndiyo tunahitaji REJECT?
 
Zakia anaongoza kwa mazoea tuu ila hakuna hata wizara moja aliwai kufanya vizuri, kila siku hakosi mtu wa kumpa lawama, alipokuwa Afya madaktari wakagoma, Maliasili magogo yakatoroshwa na mbuga zikauzwa, Fedha ndo wizi wa EPA. Kikwete ampe uwaziri, uwaziri si mazoea tuu
 
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha ya kuwa wasomi wengi waliohojiwa na gazeti hilo wamekerwa na Meghji kupewa ulaji na JK wa kuwa mbunge na huku rekodi yake siyo safi hata kidogo na hivyo kuigeuza hata kauli ya jana ya JK kuwa atachagua baraza la mawaziri la waadilifu na wachapakazi kuwa ni hadithi za alinacha..................

Wasomi hao wameshindwa kuelewa Meghji ambaye alihusishwa na kashfa za EPA ambapo aliidhinisha mabilioni ya mapesa kinyume na sheria bado kuwa kwenye ulingo wa siasa jambo ambalo laweza kuaminika na kusadikika kuwa vita dhidi ya ufisadi siyo kipaumbele cha serikali ya CCM inayoongozwa na JK ambaye hata ushindi wake wa Uraisi una mushkeli mkubwa..................Wengi tunaamini aliiba kura na kujinyakulia madaraka isivyo halali na kinyume cha sheria...............
 
Toka lini alisema ukweli? sasa hivi kila kitu kinaendeshwa kiutani utani tuu. Anajua kuwa WATZ watapiga makofi tuu,hata CHADEMA wakisusia jambo vibaraka wake walio mjengoni watazomea.
 
Toka lini alisema ukweli? sasa hivi kila kitu kinaendeshwa kiutani utani tuu. Anajua kuwa WATZ watapiga makofi tuu,hata CHADEMA wakisusia jambo vibaraka wake walio mjengoni watazomea.

Nakumbuka ni huyu mama aliyesababisha mawaziri watumie kodi ya mlala hoi kuzunguka nchi nzima kuelezea uzuri wa bajeti! ama kweli sikio la kuja halisikii dawa. Huu ni ushahidi tosha kuwa ccm hawafai kuongoza nchi! wanachofanya ni kupeana ulaji bila kujali maslahi ya nchi
 
Hao wanaoitwa wasomi na Tanzania Daima walitaka raisi amteue nani badala ya Zhakia? Maana uteuzi unaendana na kumwamini huyo unayemteua na ikumbukwe Zhakia alikuwe kwenye "Fundraising Team" kwa ajili ya kampeni za Mh. JK
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom