Mangula hajawahi kuwa mwenyekiti labla umepitiwa kidogo. Ninachokifahamu huyu bwana aliwahi kuwa katibu mkuu wa magamba nafasi ambayo kwa sasa inashikiliwa na gamba lingine kwa jina la Mukama.The biggest ever mistake done by J.K was to chess away Pro. Mangula as CCM Chairman...hapo JK kajamb.ia jivu na lishatawanyika....let him go!!
Wewe Hujui kuwa Kikwete naye Doctor! So Naye Yumo kwenye Mgomo...hata wakivuana wooote nyadhifa hadi selikalini ccm hakuna mwenye akili hata 1 angalia walivo feli kutatua mgogoro wa mgomo wa madaktari hii wiki ya 3 sasa hawajui hata wafanye nini, hivi kama ungekuwa ni uvamizi wa mipaka taifa lingekuwa mateka? Kikwete mwenyewe karudi badala ya kutatua tatiza yuko bize na kufungua benki. Ovyo kabisa
Kama shibuda hajang'olewa chadema kwa nini Jk CCM.
Source ni mke wa mleta mada, ambaye kwa bahati nzuri ni shemegi yetu!
Acheni kujadili ndoto. Hakuna mwenye ubavu wa kumtoa hata kujaribu kutoa wazo la mfano kikaoni. Unafiki tu 100%.
Sidhani kama Tanzania tume mature vya kutosha kisiasa kutuwezesha kuwa na kofia hizi mbili chini ya watu wawili tofauti bila ya kuleta migogoro ya uongozi. Binafasi nadhani litakuwa kosa kubwa sana kufanya hivyo kwani tofauti na nchi nyingine zilizoendelea ambako wenyeviti wa vyama husika mara nyingi (kama sio zote) huwa hawajihusishi na mbio za Urais, kwa Tanzania hali ni tofauti. Kumtoa Mwenyekiti wa sasa wa CCM katika nafasi hiyo kitatuletea vurugu nyingi sana kuelekea 2015. Sioni kama ujio wa mwenyekiti mpya utamaliza migogoro ya sasa kwani tatizo lililopo sasa ni pana sana. Hata hivyo kikao chenye mamlaka ya kumtoa mwenyekiti na makamu wake ni Mkutano Mkuu wa Taifa, na haujawahi kufanya hilo, na badala yake wenyeviti waliopita aidha waliondoka kwa hiari zao au baada ya kumaliza muda wao wa uongozi. Itakuwa ni maajabu ya kihistoria kama hilo litafanikiwa. Napinga hoja.