Ni majangili iweje wakamatwe kama si majangili walikamatwajeee na ushahidi upo wazi hv jangili anajulikana usoni? usione pua kubwa ukadhani kamasi zinatoka debe
Ni majangili iweje wakamatwe kama si majangili walikamatwajeee na ushahidi upo wazi hv jangili anajulikana usoni? usione pua kubwa ukadhani kamasi zinatoka debe
Suala siyo CCM hapo! Think big.

kwa mjibu wa serikali ya kikwete hawa ndiyo majangili wa tembo wetu
mwananchi akipatiwa kibano na wanajeshi huku majangili kama kinana wakipatia ulinzi na seriikali ya ccm.
masikini angalia watanzania wanavyo teswa nchi mwao halafu tunaambiwa nchi hii ni ya amani
poleni watanzania bila shaka mwaka 2015 tukisema ccm iondoke madarakani tutakuwa na kali moja....
Una uhakika hizi picha ni za watanzania?
kwa hiyo kubaka na kuwaingizia chupa sehemu za siri ni njia za CCM ili wawa taje maboss wao na wakimtaja Kinana mna wauwa...pata picha angeingiziwa mama yako angeandika ulicho kiandika...Jangili wako ngazi tofauti inategemea mbinu iliyotumika na operation. Inaelekea walianza na washukiwa ngazi ya chini mfano wavamizi wa hifadhi na wakazi pembezoni mwa hifadhi na kuwatia kibano kutaja mabosi ngazi ya juu na kadhalika. Kwa kua nchi yetu watu ni hodari wa kupiga siasa na kula rushwa tu, operation uhai imetupiliwa mbali huku fedha nyingi imetumika bila ufanisi wowote wa maana.