Kikwete hana ubavu wa kuvunja baraza la mawaziri

"Every gun that is made, every warship that is launched, every rocket fired signifies in the final sense a theft from those who hunger and are not fed, those who are cold and not clothed" – Eisenhower JAKAYA KNOWS IT AND HE WILL DO KTK WASAA UNAOFAA NA SIYO TUPENDAVYO SISI,NI NGUVU ZA WAKATI.
 
Mwalimu aliwahi kusema kuna watu wanajaribu hata kumhonga mungu. Tusishangae kuona baadhi ya watu wameanza kutafuta ziara za Vatican na hata kuwaalika Vatican, soon utasikia wengine wantaka kwenda Mecca kuhuji, wengine kwenda Nazareti subiri tu. Hiyo ndiyo Hongo aliyokuwa akiisema mwalimu.
 
Lakini kuna mtu nimemsikia akisema, "Lowassa aliamua kuzungumzia suala la Kadhi kuingiza udini katika kampeni zake za 2015 kama si 2010" hii ni hatari zaidi maana nasikia anasema kwamba JK ndiye anayesukuma mahakama ya Kadhi kwa kuwabeba Waislamu wenzake"
 
"Every gun that is made, every warship that is launched, every rocket fired signifies in the final sense a theft from those who hunger and are not fed, those who are cold and not clothed" – Eisenhower JAKAYA KNOWS IT AND HE WILL DO KTK WASAA UNAOFAA NA SIYO TUPENDAVYO SISI,NI NGUVU ZA WAKATI.

Jr,

ni kweli Kikwete atafanya hili kwa wakati wake, but how long is long inafu?
 
Ah wapi,

Vasco da gama aache safari aje kushughulikia mambo ya ndani ya nchi? miezi sita iliyopita nilidhani kuwa angeweza kufanya hivyo. Baada ya hii trip yake ya mwisho ya US na yote niliyosikia na kuona yakifanyika, Kikwete hana ubavu kabisaaaa wa kuvunja baraza la mawaziri.

Hii ni kutokana na sababu mbili:

1. Kikwete na CCM wamesema kuwa issue ya ufisadi, richmonduli, kiwira, rada, BOT, ndege za rais, Buzwagi, nk ni uzushi tu toka kwa wapinzani ambao nia yao ni kuchukua madaraka tu.

Kama Kikwete akiact na kufanyia kazi hizi tuhuma basi atakuwa amesalenda kwa upinzani na kuthibitisha madai yao.

2. Serikali ya Kikwete inaongozwa kwa ushirikiano wa watu watatu ambao nao pia wana makundi yao. Kikwete ni rais ila yeye anaendeleza kazi yake ya uwaziri wa mambo ya nje, Lowasa ndiye anadeal na mambo ya ndani, wakati Rostam Aziz anashughulikia biashara zao na vyombo vya habari. Wote hawa wana watu wao katika baraza la mawaziri na wanasaidiana katika kufanya ufisadi na wizi wao.

Kuvunja baraza la mawaziri itamaanisha kuvunja nguvu na style ya kikwete ya kuongoza kitu ambacho hana bollz za kufanya!

Kikwete,

I dare you kuvunja baraza la mawaziri ili unipe sababu ya kusherekea ushindi mwingine dhidi yako baada ya ule wa wewe kunikimbia hapa USA kukwepa maswali yangu na watanzania!

I still dare you Kikwete kuvunja baraza lako la mawaziri.
Kwenye public unasisitiza kuwa hujali wito wa wapinzani na kuwa hizo ni kelele za chura, but bado nakupa double challenge u-bow down na kuvunja baraza lako la mawaziri!
 
Sasa imebakia issue ya Buzwagi kama Buzwagi nafikiri kesho jioni tutashuudia kamati nyingine maana zinahitajika kama kumi hivi.
 
Sasa imebakia issue ya Buzwagi kama Buzwagi nafikiri kesho jioni tutashuudia kamati nyingine maana zinahitajika kama kumi hivi.

Na kesho utasikia imeundwa kamati ya kuchunguza kamati ya kwanza iliyokuwa inachunguza kamati iliyopitia mikataba mibovu ya madini wakati baraza la mawaziri la watu 60 likiendea kutumia bilioni moja za walipa kodi kila mwezi!
 
Ah wapi,

Vasco da gama aache safari aje kushughulikia mambo ya ndani ya nchi? miezi sita iliyopita nilidhani kuwa angeweza kufanya hivyo. Baada ya hii trip yake ya mwisho ya US na yote niliyosikia na kuona yakifanyika!

....ndio RAIS WA MAMBO YA NJE huyo Teh teh teh
 
I still dare you Kikwete kuvunja baraza lako la mawaziri.
Kwenye public unasisitiza kuwa hujali wito wa wapinzani na kuwa hizo ni kelele za chura, but bado nakupa double challenge u-bow down na kuvunja baraza lako la mawaziri!

Wewe ukiwa kama nani bana? Haipiti siku humu ndani bila ya kumtaja Kikwete. Mbona umemkalia kooni hivyo mzee wa watu. I'm beginning to suspect that you are harbouring an unhealthy crush on Kikwete. What makes you so infatuated with this man? I observe that elsewhere you've even quoted third party opinions about Kikwete being considered "handsome" and even claimed quite recently to have in your possession images of Kikwete in purportedly compromising situations. From such statetements and behavior one is led to believe that there's a hidden erotic attraction underlying your frequent and neverending personal attacks on Kikwete (albeit disguised as 'legit' and objective criticisms of Kikwete the president).

I understand that 'women will always be women', but to be quite honest you appear to be in need of serious psychological therapy to rid yourself of your obvious obsession with 'alpha male' Kikwete.
 
Kikwete amebanwa na ile iitwayo catch-22, akivunja baraza ataonekana amesalimu amri mbele ya wakosoaji wake, akiendelea nalo ataonekana kutokujali utendaji mbovu wa baraza hilo na itadaiwa anawalinda.

kwa mtazamo wangu siamini kama atavunja baraza zima kwani that will be a too much a drastic step. Ingawa kuvunja baraza yawezekana ndiyo hatua nzito ya kijasiri zaidi anayoweza kuchukua hasa kama anataka kuingiza timu mpya kabisa, kuanzia Waziri Mkuu n.k bila ya shaka ataamua kuchukua njia ya tatu.

Ataamua kulipangua baraza hili:

a. Kuwaondoa baadhi ya Mawaziri na kuingiza wengine
b. Wale watakaosalia watahamishwa vituo n.k
c. Wale waliokuwa Manaibu baadhi yao watapanda ngazi na kuwa Mawaziri kamili.
 
Wewe ukiwa kama nani bana? Haipiti siku humu ndani bila ya kumtaja Kikwete. Mbona umemkalia kooni hivyo mzee wa watu. I'm beginning to suspect that you are harbouring an unhealthy crush on Kikwete. What makes you so infatuated with this man? I observe that elsewhere you've even quoted third party opinions about Kikwete being considered "handsome" and even claimed quite recently to have in your possession images of Kikwete in purportedly compromising situations. From such statetements and behavior one is led to believe that there's a hidden erotic attraction underlying your frequent and neverending personal attacks on Kikwete (albeit disguised as 'legit' and objective criticisms of Kikwete the president).

I understand that 'women will always be women', but to be quite honest you appear to be in need of serious psychological therapy to rid yourself of your obvious obsession with 'alpha male' Kikwete.

In America, there is a name for people like you BUT out of respect for JF, I aint gonna write it here!
 
In America, there is a name for people like you BUT out of respect for JF, I aint gonna write it here!

Can you provide proof of not having mentioned 'KIkwete' in any of your postings on any given day? People aren't so dumb as you would have it. By the way, how do you feel now that you've been exposed as a fraud?
 
Nimeambiwa nisome Katiba ya Muungano ibara ya 33 mpaka 38! Ningefurahi kusoma hizi ibara nielewe kama H.E J.K ana ubavu au la! kunamtu anaweza kuzionyesha hizo ibara hapa JF tupate ufunuo mwingine?
 
Back
Top Bottom