Watu wengine unataka video ya kuzomea....tunaomba video kama ipo
Ndugu wana-JF mlioko Mwanza, nimepigiwa simu dakika tano zilizopta 06:30 hivi na jamaa yangu aliyeko mitaa ya Nyegezi jijini Mwanza kwamba msafara wa Kikwete umepita eneo hilo ili nisikilize live makelele ya jinsi anavyozomewa.
Jamaa yangu ananiringishia kwamba pamoja na kwamba nimesikia kelele lakini sijabahatika kuona jinsi anavyonyooshewa alama ya vidole viwili (V).
Mlioko Mwanza tujulisheni zaidi.
Watu wengine unataka video ya kuzomea....
Ningekuwepo ningemzomea tu,