Elections 2010 Kikwete azomewa Mwanza!

Jamani mimi ningekuwa kikwete ningejitoa leo hii hii, au hairuhusiwi mgombea kujitoa dakika za mwisho?
 
Ni mabadiliko tu miakaa hii ya karibuni!Obama 4 changes=president of United states,David cameroon plan 4 changes=Prime minister of United kingdom...i bet hata Slaa yuko kwenye hii list this time!
 
watu wa mwanza bado hajatufikia watu wa moshi, huku kwetu moshi maeneo ya soweto watu walivua tisheti zaowalizo pewa nakofia za rangi za kijani na njano wakawavalisha mbwa zilizo andikwa chagua kikwete wakawasambaza mbwa hao wapatao kumi barabarani huku wakisema hizi nguo zimeletwa huku kwetu nyingi mno na piazinasabasha chuki maana watu wa huku hawataki ccm wala salakana hivyo mtu akikuona umeva sare za kijaniaidha za timu ya brzili yanga ama zantel,anakuita fisadi wa ccm akimsalimia anakujibu kawasalimie mafisadiwenzako wa ccm na sio mimi tena ukome na visalamu vyako mchwara nakuona mtu kumbe adui tena mnyama,kjamani hata mimi ilibidi niweke bendera ya chadema afisini kwangu baada ya wateja kunichunia wakidainitangaze msimamo wangu la sivyo sitawaona tena labda nihamishie afisi yangu chalize ingawa sipendi kulaliaupande wowote kisiasa ilibidi niweke mambo peupe slaa 4 president 2010.hiyo ndo vituko vya watu wa moshi.

Hii nimeipenda, watu wa Moshi hongereni sana kwa ujasiri wenu.
 
Mwaka huu tumeshuhudia maajabu ya 'wenyenchi'. Siku hizi watu hawaogopi tena FFU, pale wanapoamua watakalo.
 
Leo kulikuwa na mikutano miwili yenye mvuto sana jijini Mwanza.Wagombea ubunge wawili mh Wenje wa CHADEMA jimbo la Nyamagana akiwa viwanja vya Mirongo na mh.kikwete CCM mbunge hasiye na jimbo maalumu akiwa viwanja finyu vya Sahara.
Hali ilikuwa hivi kule kwa kikwete mbali na kusomba watu toka mikoa jirani watu walikuwa si wengi sana.huku kwa wenje wananchi wenye mapenzi mema walikuwa wamejaa.Baada ya wenje kumaliza kampeini ikapita helkopita ya Kikwete jirani na Wenje.kazomewa sanaaaa. Baada ya Kikwete kufika Sahara kakuta watu wa kawaida tu. Kama kawaida kaanza "ccm oyee!"walioitikia ni wale waliokuwa wamevaa tshirt za ccm tu.alivyoanza kuongea tu wale waliokuwa hawajavaa nguo za ccm wakaanza kuondoka.

Maandamano ya wenje yalitia Fola mno. Waandamanaji kama kawaida wakiimba "tumechoka na Mafisadi"

Ajabu ni kuwa imagine mgombea ubunge anapimana nguvu na mzee wa kaya na watu wakawa sawasawa. Masha hoiiiiii. Yaani anazomewa kila apitapo.
Habari ndo hiyo.
Source ni mimi mwenyewe.niko foot step kutoka maeneo ya tukio hadi hivi ninavyoandika

Kikwete alipita na Helkopita akiwa angani rubani aliishusha chini na yeye JK akatoa mkono na kuwapungia Kofia ya Njano wananchi ambao walikuwa katika Uwanja wake. Sijui usalama waliruhusu hiyo.
 
Ni mabadiliko tu miakaa hii ya karibuni!Obama 4 changes=president of United states,David cameroon plan 4 changes=Prime minister of United kingdom...i bet hata Slaa yuko kwenye hii list this time!

Hata Obama naye chama chake kiko kwenye hati ya kong'olewa kwa kishindi kwani watu wanaona mabadiliko waliyoyategemea hayaji kwa kasi iliyotarajiwa.
 
Leo kulikuwa na mikutano miwili yenye mvuto sana jijini Mwanza.Wagombea ubunge wawili mh Wenje wa CHADEMA jimbo la Nyamagana akiwa viwanja vya Mirongo na mh.kikwete CCM mbunge hasiye na jimbo maalumu akiwa viwanja finyu vya Sahara.
Hali ilikuwa hivi kule kwa kikwete mbali na kusomba watu toka mikoa jirani watu walikuwa si wengi sana.huku kwa wenje wananchi wenye mapenzi mema walikuwa wamejaa.Baada ya wenje kumaliza kampeini ikapita helkopita ya Kikwete jirani na Wenje.kazomewa sanaaaa. Baada ya Kikwete kufika Sahara kakuta watu wa kawaida tu. Kama kawaida kaanza "ccm oyee!"walioitikia ni wale waliokuwa wamevaa tshirt za ccm tu.alivyoanza kuongea tu wale waliokuwa hawajavaa nguo za ccm wakaanza kuondoka.

Maandamano ya wenje yalitia Fola mno. Waandamanaji kama kawaida wakiimba "tumechoka na Mafisadi"

Ajabu ni kuwa imagine mgombea ubunge anapimana nguvu na mzee wa kaya na watu wakawa sawasawa. Masha hoiiiiii. Yaani anazomewa kila apitapo.
Habari ndo hiyo.
Source ni mimi mwenyewe.niko foot step kutoka maeneo ya tukio hadi hivi ninavyoandika

Heshima kwako Majita,

Mwanawane vipi mkakati wa kulinda kura umekaa sawa sawa ?.Tunataka namba ya wabunge wa upinzani mjengo iongezeke mara dufu tafadhali sana kulinda kura si lelemama CCM inakatrata moja ya ushindi nayo ni kuiba kura.
 
guys... Rational thinking is key for our country, siungi mkono zomeazomea... Ni primitive

Mkuu, hata mimi nakuunga mkono hapa. Lakini wanaozomea ni watu wa caliber tofauti na yako, watu ambao hawana njia nyingine ya ku-jiexpress ktk kuchoka kwao. Hawa hawana ubavu wa kukaa jamvini kama wewe na mimi kuelezea mitazamo yako kistaarabu. Wao wanaelewa mtu atakayewasaidia, anayeongea nao lugha moja!!!

CHADEMA wameonyesha wazi msimamo wao, hawasapoti fujo wala uvunjifu wa amani, cha msingi ktk siku chache zilizo baki ihubiriwe vizuri katika mikutano umuhimu wa kuwa wapole na kujiepusha na fujo!! Natumaini watendaji ktk kamati ya ushindi ya CHADEMA wamo humu na wanona wooote wanaopenda amani kuelekea 31/10.

Fujo na uvunjifu wa amani ni weapon ya mwisho CCM wanayosibiri kuitumia kuingiza keshi mitaani!! Tuiepuke!!!

VOTE FOR CHADEMA.
 
Sikwel hajazomewa,wadanganyen waishio nje ya mza,jk katua mza sa11.30jiön kahutubia sahara karuka sa1 usiku kwenda dar je huko nyegez kapita saangapi?usidanganye watu kama watoto.
 
Aaaaaaaaaaaaaaah nimeipenda sana hiyo, na kama mnakumbuka jana kuna mtu alikuwa na hoja inayosema MIKOA INAYOUNGA CCM MKONO NDIYO INAYOONGOZA KWA UMASIKINI, Nina imani mwanza haitakubali kuwa mojawapo, Ni lazima waondoke trip hii
 
guys... Rational thinking is key for our country, siungi mkono zomeazomea... Ni primitive

First of all,what's primitive for you,is sign of a new wave of change for others.Second,kuunga mkono kwako or not wont make a difference.Third,is a question:Ulitaka an incumbent president who is vying for re-election akizomewa TUOMBOLEZE au?

Anyway,huhitaji kamusi kufahamu tofauti kati ya kuzomea na kushangilia.Kuzomea na ishara ya kutoridhishwa,kutounga mkono,kupinga,etc ilhali kushangilia ni ishara ya kuvutiwa,kusapoti,nk.Je ulitaka wana-Mwanza wafanyeje?Walie?
 
Sikwel hajazomewa,wadanganyen waishio nje ya mza,jk katua mza sa11.30jiön kahutubia sahara karuka sa1 usiku kwenda dar je huko nyegez kapita saangapi?usidanganye watu kama watoto.

Kumbe Mwanza ni Sahara peke yake?
Hawezi kuzomewa akiwa kwenye helkopta?
Sijaona mahali mdau alipoandika kuwa alisimama Nyegezi bali alipita na kuzomewa.
Usibadili nyeusi kuwa nyeupe bila kutumia bleach!
 
azomewe au asizomewe - LAKINI HIVI KWELI ANAWEZA KULA HATA CHAKULA??? KUPATA HATA LEPE LA USINGIZI ANAPOMSIKILIZA MGOMBEA MWENZAKE WA URAIS - DR. SLAA AKIPOROMOSHO "MASERA" YENYE NGUVU, UKWELI NA UHAKIKA KWENYE LUNINGA (MIDAHALO) NA HATA ANABOHABARISHWA NA WANAOMZUNGUKA KUHUSU MIKUTANO INAVYOSHAMIRI YA MGOMBEA MWENZAKE???

ushauri kwako JK
JIKAZE TU KIUME - HII NI ZAMU YA MTU MWINGINE - DR. SLAA - KUMBUKA ULISUKUMWA KWENYE GARI NA VIJANA WA KITANZANIA - ULIDHANIA ............ITAKUWA HIVYO MILELE???? UNGELITAKA HIVYO UNGEKUWA MWANGALIFU KUTIMIZA WAJIBU WAKO NA KUFANYA WALIYOTEGEMEA TOKA KWAKO - MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA - KAMA VILE MAJIRA YANAVYOBADILIKA - KIANGAZI, VULI, MASIKA - BASI UJUE NA MAISHA/MAMBO YANABADILIKA - KUBALI MABADILIKO -
LEO WANATABASAMU TU KWA KUSIKIA SERA ZA DR. SLAA - OTHERWISE WAANGALIE KWENYE MIKUTANO YAKO YENYE MBWEMBWE NA NYIMBO ZA MIPASHO WALIVYOKUNJA NYUSO .........................HAWANA RAHA NA AHADI ZAKO ZINAWAPA KICHEFUCHEFU

TUTAKUSINDIKIZA KWA MATARUMBETA UTAKAPORUDI KWENU CHALINZE ..............AU SIJUI KWA SHANGAZI BAGAMOYO

BYE BYE BYE BYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE JK :wave:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom