Kikwete atikisa arusha

hapana, hii post iko kushoto mno. hivi kusalimiana na wahudumu wa hoteli na kuranda randa ndani ya fence ya AICC ndo kutikisa? labda kuna post hakuiweka lakini hizi zilizopo ni magumashi tu.
 
Aibu Kutikisa na mawaiter kwa nini asitikise na wananchi ameichana chana Arusha kwa sababu ya kulinda vitega uchumi vya wanawe Ridhiwani na Halfani he he he he tikisa kajitikisa mwenyewe Arusha mjini anapaon pepo alikuwa anakumbuka sana Ngurudoto amefurahi kuna AfDB
 
Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.

Meku wanatamani convoy ingeenda speed ya lamborgin hivi, mbona hakusimama asalimie wenyenchi(wananchi)?. Still jomba hajiamini sana akiwa Meruland...
 
hapana, hii post iko kushoto mno. hivi kusalimiana na wahudumu wa hoteli na kuranda randa ndani ya fence ya AICC ndo kutikisa? labda kuna post hakuiweka lakini hizi zilizopo ni magumashi tu.

Kula likes tano!
 
jamani hiz heading mnazoziweka humu ziwe japo zinaendana na habari mnayotaka kuitoa.......
 
Back
Top Bottom